Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Serikali yetu mbona haijiamini? Mheshimiwa Lembeli amesema "..tunaomba ubomoaji usichukue muda mrefu" tumetoa siku 4 au 5 maana yake nini? Matamshi hayo yanaonesha udhaifu wa serikali. Mnachoogopa ni kitu gani? Kuwepo kwa zahanati hakuhalalishi jengo kubomolewa haraka. Ni kuwa jengo hilo limejengwa chini ya kiwango kiwango na linaamuriwa kubomolewa within 4 days, PERIOD. Nusu mstari ingetosha kutoa amri, na siyo paragraph ndefu.

    ReplyDelete
  2. Yaani ni mpaka maafa yatokee ndio inspection ya majengo mengine yafanyike? Na hawa wakaguzi mwisho wa mwezi ukifika wanachukua mshahara? Kweli Bongo ni tambarare!!!! Nitarudi nyumbani mie nikalipwe bila kufanya kazi. It is a shame!!!!

    ReplyDelete
  3. Yaani hawa Kamati ya Ardhi hadi majengo yabomoke ndiyo wanatembelea na kutoa matamko. Tatizo la Tanzania ni kuwa tuna mdudu anaitwa RUSHWA ambaye nidye chanzo cha kuua maisha ya watu.Wakitoa tenda wanawapa magabacholi na ndio hao wanatoa rushwa hae yote ya kujengea , TUNATEGEMEA KUTAKUWA NA MAJENGO IMARA??.Pamoja na hayo kama ile Tume ya mwaka 2006 iliyokagu amajengo ya Kariakoo ingefanyiwa kazi haya yote yasingetokea.Majengo ya Kariakoo ni hatari nayo au hadi likidondokamoja ndiyo tena tutaanza kutoa ILANI za kubomoa??Kwakeli Idara ya Ardhi kuanzia Serikalini hadi Manispaa inabidi tufanye kazi kwa kuzingatia kanuni, taratibu na sheria. NHC inabidi waweke Mkurugenzi mwenye taaluma husika na siyo mtawala au mtu wa Fedha.

    ReplyDelete
  4. Inashangaza sana watu wanavyopenda maisha ya dunia hayo licha ya kujua ni ya mda tu na yakupita. Just imagine, Jengo la Mamilioni ya fedha lakini kifusi chake kiliuzwa laki moja moja, labda haifiki hata milioni 2.

    Nakuibomoa yaweza kua yagharimu zaidi ya gharama ya kuitengeneza!

    Watu wameshaanza kuogopa kupita karibu na majengo marefu ukiacha kuthubutu kuishi humo.

    Na investors wataogopa kuinvest maana yawezekana hasa kuingia bia na NHC kwa njia ya RSM au joint venture, maana anajitoa badala ya kukubali kosa. Kwani majengo ya NHC yaliyojengwa na wao peke yao yako salama?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...