Pichani
kushoto ni Meneja Mahusiano wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel-Tanzania,Jackson
Mmbando akimkabidhi fulana ya Airtel Yatosha pamoja na Muda wa maongezi kwa mmoja wa watumiaji wa huduma hiyo
mara baada ya kueilezea vyema,kulia ni Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mikononi ya
Airtel-Morogoro,Aluta Kweka.

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya wa hip
hop, kutoka kundi la Tip Top Conection ajulikanae kwa jina la Madee a.k.a Rais
wa Manzese akiwarusha vilivyo wakazi wa mji wa Morogoro na wimbo wake wa “NANI
KAMWAGA POMBE YANGU”,wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha ndani ya mji huo.Huduma hiyo
itatambulishwa tena hivi karibuni kwa wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake.
Sehemu ya Umati wa watu waliojitokeza kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel
Yatosha ndani ya mkoa wa Morogoro.
Wakazi wa morogoro walijitokeza kwa wingi
jukwaani kujiunga na huduma ya Airtel yatosha kwa Kupiga *149*99#.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya,Ney wa Mitego akitumbuiza mbele ya umati wa wakazi wa
mji wa Morogoro waliojitokeza kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha ndani ya mji huo.Huduma hiyo
itatambulishwa tena hivi karibuni kwa wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake.

Pichani
kulia ni Meneja Mahusiano wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel-Tanzania,Jackson
Mmbando akimkabidhi fulana ya Airtel Yatosha mmoja wa watumiaji wa huduma hiyo
mara baada ya kueilezea vyema huduma hiyo mbele ya wakazi wa mji huo na vitongoji vyke,Katikati ni Msanii Nguli
wa muziki wa kizazi kipya wa hip hop Fid Q akishuhudia tukio hilo.
Msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature akiwa sambamba na baadhi ya wasanii wenzake wanaounda kundi la Wanaume TMK-Halisi wakiwarusha vilivyo wakazi wa mji wa Morogoro na Vitongoji vyake wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha ndani ya mji wa Morogoro jana jioni kwenye viwanja vya shule ya msingi Sabasaba.
Sehemu
ya umati wa wakazi wa morogoro uliofurika kwenye uwanja wa shule ya msingi Sabasaba
wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha wakishangilia,huduma hiyo itatambulishwa tena hivi karibuni kwa wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake.








Hawa wanafunzi wa kidato cha nne wanafanya nini kwenye matamasha ya muziki?
ReplyDeleteWanatafuta zero
ReplyDelete