Habari Wadau,
Napenda kuwafahamisha juu ya Blog mpya ya Habari za michezo na burudani kwa ujumla wake. Humu utapata updates za mambo mbalimbali kitaifa ikiwa ni habari kutoka karibu mikoa yote ya Tanzania na kimataifa.
Link: www.mchomeblog.com
KARIBUNI WOTE
Reuben Mchome,
Presenter - ITV/RADIO ONE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...