Kiwanja kinauzwa kwa bei poa, kipo Shinyanga Mjini maeneo ya Bushushu kuelekea Old Shinyanga.Kinatazamana na na Mamlaka ya Maji ya KASHWASA.
Sifa za kiwanja ni kama zifuatazo:
(1) Ni kikubwa kwa maana ya size ya kati (Medium Density) kimepimwa.
(2) Kiko kilomita tano na nusu kutoka Soko la Kuu la Mjini Shinyanga
(3) Kiko barabarani /kinatazama barabara
(4) Umeme upo jirani sana pengine kutohitaji nguzo
(5) Maji ya Ziwa Victoria (bomba) liko mita 3 toka katika eneo la kiwanja hivyo ni kuunga tu.
(6) Barabara ni ya lami yenye kuchochea ukuaji wa uchumi kwa kasi.
(7)Huduma zingine za shule (kisasa) na usafiri viko karibu sana.
(8) Ni kizuri kwa makazi binafsi na biashara ya kupangisha (makazi kibiashara)
(9) Kimepakana na makazi mengine ya kisasa yenye huduma zote muhimu (umeme/maji)
(10) Kimelipiwa Idara ya ardhi (hakidaiwi) na kina nyaraka zote za umiliki.
(11) Kina mawe lori moja na nusu na kimezungukwa na fensi ya miti kwa baadhi ya pande.
Bei ni shilingi milioni 9 tu (Dalali hana nafasi).
Kwa wapenzi wa Mji wa Shinyanga/Wageni/Wenyeji pamoja na Ndugu mlio ndani na nje ya Mji wa Shinyanga changamkieni fursa hii yenye faida zaidi kwa leo na siku za usoni.
Kwa mahitaji piga 0715 371950/0755 371950

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...