Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Kenya Mhe Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakati alipowasili leo jioni kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika jijini Arusha.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijijini Arusha. Picha na Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Karibu Tz Rais Kenyatta na mama Kenyatta. Hongera sana kwa kuchaguliwa. Ni kazi ngumu yenye marafiki na maadui wengi.Mungu awabariki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...