Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na Rais Mpya wa Kenya Uhuru Kenyatta wakiwaaga wajumbe waliohudhuria mkutano wa Wakuu wa  nchi za Jumuiya ya Umoja wa Afrika ya Mashariki uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha leo. 
Picha  na Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. huyu jirani yetu mbona hodi kila siku kunani?

    ReplyDelete
  2. Andy Cap!

    ReplyDelete
  3. MIE NAONA HUU UMOJA WA NCHI ZA AFRICA MASHARIKI KAMA UPO KIMAJUNGU ZAIDI KWELI UTADUMU KWELI? NAONA KAMA KUNA WENGINE WALISHAANZA KUONA MAGUMASHI MJUE JAMANI.KAMA VIPI UVUNJWE TUONEKAMA SIE TUTAKOSA LA MSINGI KUTOKA HUKO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...