Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akimkabidhi tuzo ya Mpiga Picha Bora 2012, Joseph Senga kutojka Kampuni ya Free Media inayochapisha magazeti ya Tanzania Daima na Sayari. SDEnga amepata tuzo hiyo baada picha aliyopiga ikimuonesha askarti Polisi akimsurubu Mwandishi wa Habari, Marehemu Daudi Mwangosi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten.
Hongera, ulistahili
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi
mfano wa hundi mshindi wa jumla wa tuzo za EJAT 2012, Lucas Liganga.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi
mfano wa hundi mwandishi mkongwe aliyepata mafanikio.
Mpiga
Picha Bora 2012, Joseph Senga (kulia) akiwa na mpiga picha wa magazeti
ya Uhuru na Mazalendo, Emmanuel Ndege ambaye aliingia katika fainali za
kinyang'anyilo cha kumtafuta mpiga picha bora.
Mwandishi wa Habari wa Mwananchi Communications, Anthony Mayunga akipokea tuzo yake.
Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akimkabidhi tuzo ya mwandishi bora wa habari za watoto, Shadrack Sagati kutoka TSN.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Mwandishi wa Habari wa Mwananchi Communications, Anthony Mayunga akipokea tuzo yake.
Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akimkabidhi tuzo ya mwandishi bora wa habari za watoto, Shadrack Sagati kutoka TSN.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
brother Michu I hope utanibania..
ReplyDeleteNapenda kuongelea mavazi, naelewa hakuna dress code kwenye shughuli kama hizi ila please mwandishi wa habari kwenye shughuli kama hii vaa vizuri, atleast chomekea shati kama ni la kuchomeka. Vaa suti kama unayo, hivi vitu nilifikiri vinafundishwa vyuoni..
Vinginevyo hata kama unafanya kazi nzuri, unapotekea shughuli kama hii uko shagala bagala wasiokujua wanaondoka na impression nyingine.. remember first impression lasts
Anonymous # 1 you said it all.
ReplyDeletenini tena jamani! work ethics au? mbona katoka tu fresh! hayuko kazini kaenda tu kuchukua tuzo! shida yako nini mdau? au.........!
ReplyDelete