Mmoja ya wanacha wa Jumuiya ya Uvuvi na Mazingira Endelevu Zanzibar Haji Khamis Hasan, akipiga kura kuwachaguwa viongozi mbalimbali watakao iongoza Jumuiya hiyo.
Katibu wa Jumuiya ya Uvuvi na Mazingira Endelevu Zanzibar Husen Muhammed Makame, akionyosha Cheti cha usajili pamoja na Katiba ya Jumuiya hiyo huko katika Skuli ya Sekondari ya JKU Mtoni.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uvuvi na Mazingira Endelevu Zanzibar Sheha Chum Mngana, akizungumza na wanachama mara tu baada ya kumaliza kwa uchaguzi huko katika Skuli ya Sekondari ya JKU Mtoni.

Picha ya pamoja ya wanachama wa Jumuiya ya Uvuvi na Mazingira Endelevu Zanzibar baada ya kumalizika kwa uchaguzi uliowachagua viongozi mbalimbali wa Jumuiya hiyo.(PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...