Inasemekana Kikosi kazi cha  Ngoma Africa band aka FFU Ughaibuni ,aka wazee wa bongo tambarare ukipenda "Watoto wa mbwa " chini ya kamanda Ras Makunja aka field-marshal, aka King of Anunnaki Empire (pichani), wameshatoka kambini,na wapo tayari tayari kwa gwaride katika majukwaa ya kimataifa,pia inasemekana kamanda wao kapandishwa cheo kama anavyoonekana !
Katika kambi yao FFU Camp at www.ngoma-africa.com 
pia kumepigwa soup soup na virungu vya muziki kama kazi vinasikika atwww.ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Duhhh kweli Jeshi lipo chini ya Jemedari Ras Makunjas!

    ReplyDelete
  2. naona sasa kazi ipo! kikamaketu ras makunja,anakua field marshal,wa No.3
    afrika mashariki baada ya Field marshal John Okelo,harafu Field-marshal Idd Amin,na sasa kikamnda ketu,Field-marshal Kamnda Ras Makunja,FFU kamanda,kolokoloni No.1,
    Mlinzi mkuu na mflame wa dora la Anunnaki (Viumbe wa ajabu) hii kweli kali?

    ReplyDelete
  3. The modern revisionist history will tell you that the Anunnaki are the alien grays or reptilians from outer space that have come here to enslave mankind and alter our genetic structure. They have returned or will be returning soon.
    Be scared, very scared.

    "If you tell a lie big enough and keep repeating it, people will eventually come to believe it." - Joseph Goebbels

    We are going to explore here the truth behind the true nature of the Anunnaki. Like good investigators we will look at evidence from literature left by the Sumerians and Babylonians themselves. Let them tell us who their Anunnaki were for they know best who they were talking about.

    "The pure torch lit in the sky, the heavenly light, lighting like day, the great queen of heaven, Inanna, I will hail! The holy one, queen awe-laden of the Anunnaki, noblest one I heaven and earth, crowned with great horns, oldest child of the Moon, Inanna I will hail." ~ Hymn to Inanna poem written under Iddin-Daggan, 3rd king of the dynasty of Isin.

    Point One: Inanna /Ishtar is queen of the Anunnaki


    ReplyDelete
  4. Kikosi kinatisha kama kinaongozwa na
    field-marshal,kamanda ras makunja(FFU),mkuu wa imaya ya viumbe wa Anunnaki (alien)!,Anunnaki ni viumbe wa ajabu sana inasemekana walishuka kutoka katika sayari moja na kuja ardhini kutafuta madini ya chuma n.k katika nchi za sumerians na babylonias,inawezekana kweli Kamanda ni mkuu wa Anunnaki Empire,lakini kamanda wetu ras makunja inaonekana si mwanamuziki wa kawaida maana habari zake zinasisimua!

    ReplyDelete
  5. Kamanda Mkuu ras makunja,mimi naomba kazi ya kuvyagia katika FFU Camp?
    wapi nitapata fomu za maombi?

    ReplyDelete
  6. Kikosi cha FFU ughaibuni majina yao yanatisha Ngoma Africa aka FFU,aka "watoto wa Mbwa" aka Wazee wa bongo tambarare aka ANUNNAKI EMPIRE(Alien) yaani dora la viumbe wa ajabu,kweli nyie ni viumbe wa ajabu! msiofanya mambo ya kawaida

    ReplyDelete
  7. Ngoma Afrika aka FFU ughaibuni au Anunnaki alien inaonekana sio wanamuziki wa kikawaida,haya majina yenu ya kiusanii ! yanatisha sana....
    inaelekea nyuma yenu kuna wataalamu sana ? haya majina mnayopachikwa yanatisha.Any way muziki wenu nimeupenda.
    Fr.Mwaisongo,
    Mbeya

    ReplyDelete
  8. te! te!te! Kamanda kapendeza...jamani kikamanda ketu ras makunja,ngoja nikupigie saluti mkuu kikosi cha ffu ughaibuni

    ReplyDelete
  9. Asije akamrithi Emperor Haile Selassie (Might of the Trinity) a.k.a. Lij Tafari Makonnen!

    ReplyDelete
  10. mbona kuna tetezi nyeti zinamuhusisha kamanda wetu ras na bint wa hayati Ghadaf,wadaku wadai kuwa moja ya mabint wa Gadaf alikua akitoka na mkuu kamanda wa ffu? kama yasemwayo si kweli basi kamanda akanushe hapa kijiweni

    ReplyDelete
  11. wewe anony Apr 05,09:37pm
    umekua mdaku?sasa kama kamanda alikua ana naniini na bint wa mfalme si yalikua makubaliano yao.iwe kweli au uzushi wa wadaku hizo si starehe zao,wewe yakuhusu nini? mbona tunasikia kamanda ni mume wa mtu tena familia yake ni ya kidini.

    ReplyDelete
  12. kama kamanda alikua anapekecha na yule bint labda zamani ,mbona mjeshi ana ndoa!

    ReplyDelete
  13. yasemwayo yapo,kuna wadau wanajaribu kumtetea kamanda juu ya kufanya naniini na Aysha,mbona hilo lilikua sio siri miaka ya nyuma,lakini sasa wote si wana familia zao,kamanda ana mke na yule bint tunasikia ana mume.

    ReplyDelete
  14. kamnda mie nakuzimia pale unapokomaaga kichwa na kurusha marungu kama hauna akili nzuri! kweli kazi yako umeipindia akili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...