Katika pita pita za Kamera Man wa Globu ya Jamii,leo alikatiza eneo hili la Barabara ya Umoja wa Mataifa ambapo ni njia panda kabisa ya kuelekea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,Upanga jijini Dar es Salaam na kuinasa taswira hii ya Mashimo yaliopo katika barabara hiyo,kama ionekanavyo pichani hapa.sasa sijui mashimo haya yapo kwa ajili ya maandalizi ya nini??

Haikuishia hapo,kwenda mbele kidogo tena hapo ni baada tu ya mataa ya faya kwenye makutano ya Mtaa wa Twiga na Swahili,Kariakoo nako mambo yako namna hii .
 Na hapa ni Mikocheni "A" usoni kabisa mwa Hospitali ya TMJ na Mall ya Mayfar Plaza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. BONGO TAMBARAREEEEEE. UNAMLILIA NANI NA MAHANDAKI YENU YA KUJICHIMBIA DHIDI YA MUSUDAN LA KIM JUNG UN.
    HUKU HANDAKI KAMA HILO COUNCIL WANALAMBWA HELA KIBA NA WENYE MAGARI. UKILIINGIA TU UNAPELEKA MADAI GARI LIMEHARIBIKA UNAPEWA CHAKO. BONGO TAMBARAREEE NANI ATAKULIPA MKOKO WAKO UKIVUNJA SUSPENSION....LIA TU MWANAWANE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...