Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kuna jamaa mmoja hapa UK kutoka Somalia aliwahi kuniuliza kama nataka kwenda University, mimi nilijibu kuwa mimi tayari nipo University. Msomali akaniuliza University gani hiyo. Nikamjibu ni "University of Life".
ReplyDeleteYaani ninyi ndio mmekosea kabisa kuna mada nyingine hazitakiwi kuzungumzwa kwenye vikao bubu kama hivi.Eti jamaa wanvyoonekana sura zimekomaa kama wanapiga kazi za jikoni (subway), migogo imepinda kwaajili ya skejo pevu,eti ndio unawambia wazungumze kuhusu elimu, wapi na wapi?Kaka benja sawa aapoint lakini katika mada kama hizi msimpe awemsemaji mkuu , yeye anachojua ni skejo za box na inshu za maisha zinaserereka kwa raia mgeni huko marekani.
ReplyDeletembona wengine wanaongea na jaziba? kwani kuna mtu kakuzuia kusoma?
ReplyDeletekuweni wastaarabu na hata katika mijadala yenye pombe kuna lolote jipya? hahahahahah
Ni kweli watu kibao tena wa karibu ninaowafahamu, walifaulu vizuri sana sana kule home kiasi cha kuweza kuingia university moja kwa moja, cha kusikitisha wakaingiwa na wazimu wa kwenda marekani yawezekana waliongopewa kua watasoma, masikini hakuna cha shule wala nini wameishia mtaani tu huko marekani, na wale waliojitahidi kukomaa na shule huku wakifanya kazi degree moja mtu anaisoma kwa miaka kumi.Mimi ni kizazi kile kilichomaliza shule maarufu pale jijini miaka ya 1994-1996 tena nilibahatika kusoma Tambaza na Azania za wakati huo kulikua na washkaji kibao ambao walikua wazuri mno ktk masoma wakatokomea marekani lakini leo hii ni aibu hata kurudi wanaogopa.Kuna mwana mmoja alikubali yaishe akarudi home sasa anasoma, nakubaliana na benja kwamba kama wataka kusoma rudi home utakaa kwa mjomba au shangazi lakini utasoma.
ReplyDeleteebwana eeeh domo kaya wako wengi ni mahoka inatuchekesha lakini kaeni mkijua hakuna kitu kama shule hata kama mtasema watu wanabandika degree zao ukutani poa yote ni maisha
ReplyDeletepoa sana vichekesho angaliyeni jamani lakini kusoma ndo yote hata kama nikija kuajiriwa na wewe usiyesoma lakini mimi nimesoma na nitasoma yote maisha
Jamaa huyo anayepiga domo sana kama hajaenda shule kacheza atapiga boksi mpaka mgongo upinde, wabongo hapa marekani wapo walopiga shule vizuri na sasa wanafanya kazi nzuri tu na kipato kizuri. Huyu jamaa hajui kwamba sasa nchi nyingi zinarekebisha sheria za uhamiaji, na pindi zikibadilika watu kama hawa ndio huchanganyikiwa, sasa hivi baada ya mdororo wa uchumi, nchi za ulaya wazawa nao wanagombea kazi za boksi na wageni inabidi watoswe. kwa sasa maisha nyumbani kama una shule ya maana unaweza kupapatua ukaishi vizuri tu (maisha ya kawaida), kwa walioondoka miaka kumi au zaidi wanafikiri nyumbani hakujabadilika, mabadiliko chanya ni makubwa tu, we kaa marekani miaka ishirini urudishwe nyumbani kwa michango.
ReplyDeleteSina zaidi
Mdau
T.K
Houston, TX
i comment again...Elimu ni ufunguo wa maisha, piga ua it comes very handy. inarahisisha maisha hata kama ni biashara au mitkasi unavifanya kisomi zaidi. ELIMU NI MWISHO WA YOTE!
ReplyDeleteAnony wa nne toka juu umepasua jipu!
ReplyDelete