Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Chama ni kwa wale ambao bado ni raia wa TZ. Sasa wengi wa walio Ughaibuni sio raia wa TZ. Walio raia wa TZ wanarudi na kupiga kura siku za kupiga kura.

    ReplyDelete
  2. Ben umeongea ukweli mtupu, na umemalizia ukweli viongozi wengi huenda nje ya nchi kufanya shopping, watu wananunua mpaka toys. Jamani watanzania tutaendelea lini? nidhamu ya uoga ndio sehemu yake jamani watanzania ni waoga mnoooooo! Hivi tutafika kweli? Next time endeleeni na hii mada kama itawezekana. Wote mmeongea vizuri, nimependa sana hii ya leo.

    ReplyDelete
  3. Hivi Ben umesomea nini? Mana una uelewa mkubwa sana wa vitu vingi mno! Unaongea point na ukweli mtupu. Ila una hasira mno na nchi yako Tz. Swala la vyama nje ni gumu kwa kweli, hata Tz. Vyama vizuri ila watendaji wake ndio!!!!!!!?

    ReplyDelete
  4. Hiki kipindi cha vijimambo nakipenda kwa sababu ya huyu Benja Mwaipaja. Huyu jamaa ni komedi ya kiaina yake.

    ReplyDelete
  5. Benja Mwaipaja anazungumzia "eye contact" huku amevaa miwani ya giza.... hehehehe

    ReplyDelete
  6. You guys choose to live in US and want to dictate what should happen back home. first take a flight back home and see the real situation. do not burry your head in the sand! Tanzania has big problems, people are divided, people are angry because of the injustices.

    ReplyDelete
  7. JAMAA ANIUWA SANA HUYO STERLING WA KIJIWE KWA KWELI NI COMEDY HAJAJISHTUKIA LEO ANA IPHONE,IPAD FUNGUO YA GARI WHITE TOP WHITE SOCKS KATOKELEZEA ILE MBAYA DC LONG TIME ILA ANAE PINGA CHAMA HAKINA MANUFAA KWA WALIO UGAIBUNI ANA ZUNGUMZA POINT.EYE CONTACT SEE YOU LATER

    ReplyDelete
  8. "wengi tulio marekani tunaangalia eye contact na tuna freedom speech" du kweli hiki kijiwe,mada nzuri mchangia mmoja (mwenye fulana nyeupe) ndio anaongea pointsna anaonekana amejipanga,huyo ben mwaipaja ana mbwelambwela tu

    ReplyDelete
  9. Mdau wa #1.Tue Apr 16, 11:37:00 am 2013 Kwa hiyo Watanzania walio Ughaibuni wafunge safari kuja kupiga kura tu? Watoke Marekani, China, au popote walipo kuja kupiga kura? Nauli unawapa wewe? Jamaa wengine manongea tu bila kufikiri(Ndiyo maana tukutukana Michuzi anatubania-sababu kama hizi).

    Mdau#6 Tue Apr 16, 06:58:00 pm 2013
    kwa hiyo watu kwa vile hawapo wakati wote TZ kwa hiyo sio WaTanzania? Kwani wewe huwaoni wanayoongea yanaonyesha wanawasailiana, wametoka au wametoka TZ? Na vyombo vyote hivi vya mawasiliano huoni jamaa wa Ughabuni wanaweza kupata habri zaidi kuliko hata mtu aliyepo TZ.?! je huoni wanaelewa matatizo ya Bongo? Au jamaa manaandika tu ili uandike? Fikiria.

    Kuwa mzalendo siyo lazima uwepo hapo hapo bali nikuwa na moyo wa kuendeleza Taifa lako. Jamaa wengi walipo Ughabuni(na hawa kwenye kijiwe)hata kama hawaleti chochote(Kitu ambacho hakiwezekani, wanapeleka pesa kibao Bongo) lakini unaona wanaongelea jinsi ya kutatua matatizo ya Watanzania. Wabongo wengine tuache wivu kuwaonea ndugu zetu bila sababu bali tujifunze toka kwao ili tuendelee, na sio kuwakatisha tamaa kwa kuonga pumbaa.

    ReplyDelete
  10. Guys ningewaomba hizo funguo za Magari au nyumba muziweke kwenye mifuko yenu,haipendezi kwa kweli yaani mnaonekana kama mnataka kuondoka anytime.

    ReplyDelete
  11. Kwa kweli watanzania hatusaidiki! Watu wanaongelea jinsi gani matatizo yanaweza kutatuliwa, tupo kwenye kucomment vitu visivyo na maana, sasa funguo, ipad, iphone, colour of the tshirt, miwani ya giza has nothing to do with what has been said, hayo ni mambo ya mtu binafsi kabisa after all hayana effect yoyote kwenye kusaidia kutatua shida au kwenye hiyo topic inayozungumzwa, cha muhimu ni point na nini kifanyike katika topic ya leo! Nawewe tukikuona ulivyo vaa tukuchambue unadhania tutapenda appearance yako ya mavazi? Mie naona mambo ya mavazi nk, hayana msingi wether Ben ni comedian au sio haiwezi kuelta tija. Watanzania hatuelemiki na ndio mana hata division zero zimeóngezeka mwaka huu! yani hata walioenda shuleni ni kupumbalize..ongeeni point achanane na appearance za watu. kama huna pesa ya Ipad kakope benki, achana na kuwapangi watu waweke wapi vitu vyao. Tucomment what has been said. Kwa sasa matatizo ya vyama Tz ni makubwa na jinsi gani ya to come up with solutions. Hivi mlio-comment kuhusu yasiyokuwepo kwenye mada mna maaana gani? Hivi ingekuwa mkenya ana comment angeandika haivyo, wakenya wako mbali hata kifikra...watanzania ni kusemana semana tu kutwa kucha, mambo ya maendeleo no! nani ataikomboa Tanzania kama sio mimi na wewe? Tutaikomboa toka kwenye division zero kwa njia ipi? Matatizo yanatafitwa tija uliyesam njooni Tz kuna shida, sasa si ndio wanaongelea jinsi ya kutatua matatizo badala ya kuja kuziona na kulalamika ovyo. Embu tuelimike.

    ReplyDelete
  12. Kwa kweli watanzania hatusaidiki! Watu wanaongelea jinsi gani matatizo yanaweza kutatuliwa, tupo kwenye kucomment vitu visivyo na maana, sasa funguo, ipad, iphone, colour of the tshirt, miwani ya giza has nothing to do with what has been said, hayo ni mambo ya mtu binafsi kabisa after all hayana effect yoyote kwenye kusaidia kutatua shida au kwenye hiyo topic inayozungumzwa, cha muhimu ni point na nini kifanyike katika topic ya leo! Nawewe tukikuona ulivyo vaa tukuchambue unadhania tutapenda appearance yako ya mavazi? Mie naona mambo ya mavazi nk, hayana msingi wether Ben ni comedian au sio haiwezi kuelta tija. Watanzania hatuelemiki na ndio mana hata division zero zimeóngezeka mwaka huu! yani hata walioenda shuleni ni kupumbalize..ongeeni point achanane na appearance za watu. kama huna pesa ya Ipad kakope benki, achana na kuwapangi watu waweke wapi vitu vyao. Tucomment what has been said. Kwa sasa matatizo ya vyama Tz ni makubwa na jinsi gani ya to come up with solutions. Hivi mlio-comment kuhusu yasiyokuwepo kwenye mada mna maaana gani? Hivi ingekuwa mkenya ana comment angeandika haivyo, wakenya wako mbali hata kifikra...watanzania ni kusemana semana tu kutwa kucha, mambo ya maendeleo no! nani ataikomboa Tanzania kama sio mimi na wewe? Tutaikomboa toka kwenye division zero kwa njia ipi? Matatizo yanatafitwa tija uliyesam njooni Tz kuna shida, sasa si ndio wanaongelea jinsi ya kutatua matatizo badala ya kuja kuziona na kulalamika ovyo. Embu tuelimike.

    ReplyDelete
  13. Wakitaka kuondoka any time kuna shida gani? Je inasaidia kitu kilichokuwa kinazungumziwa? Of course wakimaliza wataondoka, so what? jamani mbona tunacomment visivyohitajika badala ya mada.?
    Ben Mwaipaya upo juu sana hakuna cha ucommedy wala nini! Una akili sana ingawaje unaongea kwa jazba, it seems ndio ulivyo asili yako, mana tumeumbwa tofauti. Ben ukikosekana hapo hakuna vijimambo.

    ReplyDelete
  14. Haya mambo ya vyama kuvileta ughaibuni ni kujitafutia tu umaarufu na maslahi binafsi. Kwani ukiwa kiongozi wa tawi fulani especially chama tawala, akija mkubwa kutoka bongo atakuwa introduce kwako then utakuwa umepata connection ya kukusaidia mambo yako binafsi bongo huko. Vyama huku ughaibuni vinapunguza mshikamano miongoni mwetu kwa kututenganisha kiitikadi. Huku tunatakiwa tushikamane tuwe kitu kimoja kama WATANZANIA. Uccm ama Uchadema, ama uCUF hautusaidii chochote zaidi ya kututenganisha tu. Kwanza mi sijawahi kusikia chama cha siasa cha nchi fulani eti kina tawi nchi nyingine, labda mnielimishe wadau !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...