MRS ELIZABETH CHISENGA TSERE

Mama yetu mpendwa, Leo tarehe 17 April imetimia miaka 8 tangu uitwe mbele za haki.
Unakumbukwa sana na wanao Patrick,Francis na Assumpta pia wakwe zako Tumaini,Agnes na Chris Chika pamoja na wajukuu zako wote kumi.
Mpendwa mama R.I.P"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mungu amlaze mahali pema
    I knew this family, her father was a medical assistant in Kasulu when I was young, and I remember when Elizabeth and Dr Tsere were married in Kabanga church.I hope her family see this and know I pray for her.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...