Marehemu Anthony Njeje.

Ni miaka mitano sasa imepita tangu ulipokwenda kwenye makao ya kudumu Baba yetu Mpendwa tarehe 17.04.2008.  
Baba, hatupo nawe kimwili lakinii kiroho upo nasi daima. Tunakukumbuka sana Baba yetu Mpendwa. Unakumbukwa sana na Mke wako Mpendwa Mama Elizabeth Anthony Njeje, Wanao Aninziye, Luseshelo-Ernest, Fredy na Sarah. Wajukuu zako Anthony Jr, Shikunzi-Alvin, Amarisa na Yasinta, Pia unakumbukwa na wafanyakazi wenzako wote, majirani zako, waumini wenzako, ndugu Jamaa na Marafiki. Sisi Tulikupenda sana lakinin Mungu alikupenda Zaidi. 

Jina la Bwana Lihimidiwe.
Amen

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...