WAHITIMU
ISHANTI SHAPWATWA AKISOMA RISALA KWA NIABA YA WAHITIMU KATI YA MAMBO ALIYASEMA NI KUWASHUKURU UONGOZI WA CHUO NA WANANJAMII KUWALEA VYEMA CHUONI HAPO TANGU WAANZE MASOMO AMBAYO MPAKA KUMALIZA HAKUNA MWANANCHUO ALIYEFUKUZWA CHUO KWA UTOVU WA NIDHAMU 
MWENYEKITI WA BODI YA USHAURI YA CHUO BW MOSES MWIDETE AKIONGEA MACHACHE KWA WAHITIMU, AMEWATAKA WAHITIMU KUWA KWA VILE  SASA WANANZA KUJITEGEMEA CHA MSINGI WAJUE KUJIHESHIMU NA WAEPUKANE NA NGONO ZEMBE AMBAZO ZINAPELEKEA KUPATA UGONJWA WA UKIMWI AMBAO HAUNA TIBA WALA KINGA 
MKUU WA CHUO CHA UALIMU TUKUYU BW MATHIAS MVULA AKISOMA TAARIFA FUPI YA CHUO HUKU AKIWATAKA WANANCHUO KUWA MABALOZI WAZURI KATIKA JAMII ILI JAMII ITAMBUE CHUO CHA MSASANI KINAZALISHA WAHITIMU WALIO WAADIRIFU NA WAPENDA AMANI KATIKA JAMII
MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIONGEA NA WAHITIMU NA JUMUIA YA CHUO PAMOJA NA WAZAZI WALIOHUDHURIA. MKUU WA WILAYA AMESEMA KUWA MWALIMU NI KIUNGO MUHIMU KATIKA JAMII KWAKUWA MWALIMU ANATEGEMEWA KWA KUWA NA MAWAZO MAZURI NA YENYE SURUHISHO YA MIJADARA YA KIJAMII, HIVYO 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...