Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi ya maua kutoka kwa watoto wa Kituo cha Kanisa la
Tanzania Methodist la Msasani, wakati alipowasili katika kituo hicho leo
kwa ajili ya kuhudhuria harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha
Kanisa hilo iliyofanyika sambamba na Ibada maalum ya kumshukuru Mungu
kwa ajili ya Shirika la Compassion International Tanzania kwa kuingia
Ushirika wenza na Makanisa ya Mkoa wa Dar es Salaam na kuzindua Cd ya
Kwaya ya Watoto wanaofadhiliwa na Shirika hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwasili katika Kituo cha Kanisa la Tanzania Methodist la Msasani, leo
kwa ajili ya kuhudhuria harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha
Kanisa hilo iliyofanyika sambamba na Ibada maalum ya kumshukuru Mungu
kwa ajili ya Shirika la Compassion International Tanzania kwa kuingia
Ushirika wenza na Makanisa ya Mkoa wa Dar es Salaam na kuzindua Cd ya
Kwaya ya Watoto wanaofadhiliwa na Shirika hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi ya kutoka kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Kanisa la
Tanzania Methodist la Msasani, Joseph Mayala, leo wakati wa hafla ya
harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Kanisa hilo iliyofanyika
sambamba na Ibada maalum ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya Shirika la
Compassion International Tanzania kwa kuingia Ushirika wenza na Makanisa
ya Mkoa wa Dar es Salaam na kuzindua Cd ya Kwaya ya Watoto
wanaofadhiliwa na Shirika hilo. Kulia ni Askofu wa Kanisa hilo, Dkt.
Mathew Byamungu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwahutubia waumini wa dini ya Kikristo wa Kituo cha Kanisa la
Tanzania Methodist la Msasani, wakati alipowasili katika kituo hicho leo
kwa ajili ya kuhudhuria harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha
Kanisa hilo iliyofanyika sambamba na Ibada maalum ya kumshukuru Mungu
kwa ajili ya Shirika la Compassion International Tanzania kwa kuingia
Ushirika wenza na Makanisa ya Mkoa wa Dar es Salaam na kuzindua Cd ya
Kwaya ya Watoto wanaofadhiliwa na Shirika hilo.
Baadhi ya waumini waliohudhuria harambee hiyo.
Watoto
wa Kwaya inayofadhiliwa na Shirika la Compassion International
Tanzania, wakitoa burudani ya kuimba moja ya wimbo wao ulio katika Albam
yao iliyozinduliwa katika hafla hiyo.Picha na OMR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...