Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ujumbe mzuri sana huu ila nina shaka kama wahusika watakubali kuuelewa na kuutilia maanani.

    ReplyDelete
  2. WELDONE CHINA! AFRICA NEEDS YOU, AFTER 2CENTURIES OF POVERTY UNDER 'FRIENDSHIP' WITH THE WEST, WE ARE READY FOR A NEW FRIEND, A TRUE FRIEND!

    ReplyDelete
  3. godo nakupongeza sana mkuu.sina shaka na mawazo yako ukweli ni huo kwamba tumekwisha habari yetu itafikia wakati hata sisi hapa bongo tutakuwa na viongozi kibao wachina tunaafiki kila kitu masikini!! eti mwamvuli wa ushirikiano ulioanzishwa na nyerere kila kukicha.Hainingii akilini kabisa.hakuna R.D hakuna Discoveries.Viongozi mafundi wa hayo na kupongeza wafadhili.Wazi tanzania tunayoipenda haitakuwa yetu tenasi muda. Ukitaka nibanie tu MICHUZI HUWA SIONI MAONI YANGU.

    ReplyDelete
  4. Haaa... ujumbe utakuwa umewafikia anony 12:27:00 ila kama kawaida yetu, tutadharau. Yaani, hii nimeipenda, kwani kwa uhalisia sasa bara la Afrika limeshakuwa koloni la Uchina!!! Halahala viongozi wetu, kila kukicha utasikia Wawekezaji hawa wanaiba umeme kwa style, wakikodishwa nyumba kwa makazi zinageuzwa viwanda n.k. Hivi wako juu wa sheria? au ndio tumeshauzwa...., MUNGU IBARIKI AFRIKA.....

    ReplyDelete
  5. Mshirika yeyote wa nje sio wa kumwamini!

    Hatuwezi kuyaweka maisha yetu na mashalhi yetu na hatma yetu ya baadae Mnadani mbele za Wageni.

    Awe Mshirika Mmagharibi ama Mmashariki,

    Iwe Chinese, iwe American au European ni LAZIMA TU BAGNAIN KWA TIJA KTK MIKATABA NA MAKUBALIANO YA MIRADI zaidi ya hapo Vijukuu vyetu vitakuja kukuta mazao yote yameliwa na Kima yamebaki mabua!

    ReplyDelete
  6. Ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu......... Kama huwezi kujitawala utatawaliwa. Hao mpaka wakawa nyomi hapa ninyi mko wapi>

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...