Mpishi
wa Bia wa kampuni hiyo, Kelvin Nkya, akiwapatia maelezo maofisa wa
majeshi ya Rwanda na Ghana, kuhusu idara mbalimbali za uzalishaji
walipotembelea kiwanda cha bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es
Salaam hivi karibuni. Maofisa hao waliongozwa na maofisa wa Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Meneja
Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo
akiwapatia maelezo ya awali maofisa hao wa kijeshi kutoka nchi hizo
mbili.
Mpishi wa Bia wa TBL, Kelvin Nkya akiwapatia maelezo maofisa hao namna bia inavyopikwa kwa kutumia kompyuta.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...