Home
Unlabelled
MAONESHO YA NDEGE ZA KIJESHI KWENYE SHEREHE ZA MUUNGANO LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nitafurahi tu endapo nitaona tunaouwezo wa kulinda nchi yetu kwa angalau asilimia 95 kwa maadaui wa aina zote. Hakuna nchi inayoaminika dunia ya sasa; kila nchi inajali maslahi yake.
ReplyDeleteWaambie malawi kabisa mapema .wakizingua shauli yao
ReplyDeleteTunataka Amani siyo vita wala malumbano ya siasa
ReplyDeleteOur MiGs... alete mtu fyoko tumbalaze
ReplyDeletehamna ubavu wa kuwapiga wamalawi unadhani wazanzibari wao jaribuni mtakiona ta mtema kuni
ReplyDeletekwani malawi wana nini hadi tushindwe. kwa taarifa yako sisi tuko poa kuliko wao kwanza kwa nguvu kazi na kwa technolojia. ukumbuke kuwa kanchi ka malawi ni kama kanda ya kaskazini tu kwa tanzania.wakitaka wakaulize IDI AMINI TULIMFANYA NINI NA PIA WAKAULIZE COMORO TULIMFANYA NINI RAISI ALIEGOMA KUTOKA MADARAKANI NI MIFANO MICHACHE TUU!
ReplyDeleteMpe huyo mdau, na sera zake hapa za unzanzibar, zanzibar ni kisiwa tu, sio continental, asituzingue hapa, kama generation yake ilihamia hapo kisiwani, atajiju, hicho kimalawi, labda ukubwa wake kama unguja, utalinganisha na ukumwa wa TZA, na kuna watu wenye mingufu na miakili wacha wewee chezea TZA, KUDOS
ReplyDeleteMalawi wana nufaika sana na Diplomasia za Kistaarabu za Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
ReplyDeleteKikwete asingekuwa Balozi wa Diplomasia nadhani muda mrefu tungeongeza Mikoa ya Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania tukawa na Mkoa wa Malawi!
Mama Joyce Banda tungempa akabaki kuwa Mkuu wa Mkoa wa Malawi ili UN waone tunazingatia Gender Balance (Yaani usawa wa Jinsia ktk Utawala)
Mdau wa Tano hapo juu anony wa Sat Apr 27, 12:19:00 am 2013.
ReplyDelete...hamna ubavu wa kuipiga Malawi...
Malawi ni choka mbaya wana njaa, walisoma elimu ile ya mkoloni na matatizo yemewakamata vibaya sana.
Malawi wanatuonea viwu na mimali ya Tanzania na sasa wanataka ziwa lote liwe lao.
Hivi mbona ule upande wa ziwa sehemu ya Msumbiji hawadai kuwa pia ni sehemu yao?
Tanzania tuna matatizo madogo tu ya kuiendeshaji ambayo ni changamoto lakini Malawi tunaweza kiumeza kama Mamba anavyomeza chura na tukawatwanga vibaya kabisa!!!,,,
Wewe juzi hao jamaa Waasi wa M-23 wanaosumbua huko Maziwa Makuu waliposikia Jeshi la Tanzania linakuja, wenyewe wakaweka bunduki chini na Mkuu wao (Bosco Ntaganda) mwenyewe akajikabidhi Ubalozi wa Marekani Kigali-Rwanda,,,,,,Chezea Tanzania weye?