KARIBUNI KWENYE SHEREHE YA MKESHA WA SIKU KUU YA WAFANYAKAZI.
MAY MOSS PARTY ON 30-APRIL-2013 LIVE OMMY DIMPOZ FROM TZ.
Music ya kizazi kipya Bongo Flavaz record za leo leo si mchezo.
           Cc 150. Id 20 open:- 20:00-03:30
           Adress:- Strand gate 19 Opera Bar Oslo Norway
         Contact:- +47 96872483 Dj Pred Pro a.k.a  Mpily.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mei Mosi.

    ReplyDelete
  2. Moss maana yake nini?

    ReplyDelete
  3. DIRECT FAX:

    Ofisi za Ubalozi za nje zimekuwa na Tabia mbaya sana ya kuwanyima Visa watu tena wenye Mipango itakayoleta Tija kwa Ustawi wa Nchi mfano Watafiti (Researchers) na Watazamiaji (Analysts) wanoweza kuhamisha maendeleo na Tekinolojia na kinufaisha nchi badala ya Watoa Burudani.

    Je, Serikali yetu ipo wapi kwa mwendo huo?

    Kwa nini Serikali isiweke Vipambele kwa watu waviorodheshe kwenye Ofisi za Ubalozi za nje ili watoe Visa kwa Tija ya maslahi ya nchi pia?

    Kama unapotakiwa Mahakamani ama Polisi ni lazima SERIKALI ITAHAKIKISHA unapatikana, iweje unapokwenda nchi za nje Serikali isiweze kukufikia HUKO na kukurejesha nchini, ili Ubalozi husika usidai umezamia huko kwao?

    Pana umuhimu Serikali ianzishe Mpango wa DHAMANA KWA WANAOKWENDA NCHI ZA NJE ILI KUHAKIKISHA WANARUDI NCHINI (KAMA ZOEZI LINAVYO FANYIKA MTU AKIWA MAHABUSU AMA MAHAKAMANI-CHINI YA USIMAMIZI WA SERIKALI), ILI OFISI ZA UBALOZI ZISIPATE KIGEZO CHA KUWANYIMA VISA WATU MUHIMU KWA MAENDELEO YA NCHI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...