Mdau  Saumu Adadi Rajabu  akifurahi na baba yake Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Mhe Adadi Rajabu na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe Peter Kallaghe baada ya kulamba nondozzz yake  ya Saumu Adadi Rajabu who graduated on Monday 15th of April, 2013 at Coventry University with Masters in Advertising and Marketing. katika chuo kikuu cha Coventryiversity with Saumu Adadi Rajabu who graduated on Monday 15th of April, 2013 at Coventry University with Masters in Advertising and Marketing.Marketing.
Mdau Saumu akipozi na baba kwa furaha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. DUU MMETUCHANGANYA LUGHA HAPO. lUGHA MGONGANO OR?

    ReplyDelete
  2. Hiyo lugha sijui tutafute mkarimani

    ReplyDelete
  3. Hata wewe umechemsha kwa kusema mkarimani instead of mkalimani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...