Home
Unlabelled
mkapa atembelea ofisi zilizochomwa moto Masasi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ofisi za almashauri na za serikali zilizo chomwa moto na WAHUNI ili neno WAHUNI hapa limenikumbusha zamani kweli.
ReplyDeletekwanini msiwaite wana harakati mnawaita wahuni acheni zenu bwana bongo bongo
ReplyDeleteWanaharakati hawawezi kufanya uhuni kama huo
ReplyDeletekwahiyo hiyo wanaharakati wanaruhusiwa ya kuchoma mali za mashirika na mali watu au uko ulaya ndio wanafanya hivyooo coz ss tuiga vitu kutoka ulaya hao ni wahuni na wanatakiwa walipe hizo mali za watu.
ReplyDelete