Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo akisaini mkataba wa uchimbaji madini wa kampuni ya MorogoroRegional Mining Company Ltd wanaotarajia kuanza shughuri hizo mwishoni mwaka 2013 kulia kwake ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo ndugu, Protase R.G. Ishengoma.
Waziri wa Nishati na Madini (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wawekezaji katika sekta ya madini baada ya kusaini mkataba wao ili waweze kuanza shughuri za uchimbaji. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo akifuatiwa na Kamishna wa Madini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Habari haijakamilika.Madini ya aina gani?Kama ni madini yote yaliyoko ardhini,eleza.Kuna aina nyingi za madini mfano(natumia Kiingereza)Gold,Zinc,copper,Diamond,Lead,Coal,Molybdenum,cobalt,Iron,Sapphire,Bauxite,n.k ni mengi sana

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...