Mkuu
wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza,Mh. Baraka Konisaga (kushoto)
akisalimiana na Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL) jijini Mwanza,Andrew Mbwambo wakati alipowasili kwenye Viwanja vya
Furahisha tayari kwa Hafla ya kutoa Baraka zake wa Bia ya Safari Lager
iliyoshinda Tuzo ya Bia Bora Barani Afrika.Kulia ni Meneja Matukio wa
TBL kanda ya Ziwa,Erick Mwayela na wa Pili kushoto ni Mdau Deodatus
Katambi.
Mkuu
wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza,Mh. Baraka Konisaga akipokea Kombe
la Ushindi wa Bia Bora Barani Afrika ulioupata Bia ya Safari Lager
kutoka kwa Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo ikiwa ni kutoa
Baraka zake kwa Kombe hilo kuwepo jijini Mwanza,katika hafla fupi
iliyofanyika kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo.
Mkuu
wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza,Mh. Baraka Konisaga akinyanyua Juu
Kombe la Bia Bora Barani Afrika ulioupata Bia ya Safari Lager wakati wa
kutoa baraka zake kwa ziara ya Kombe hilo jijini Mwanza.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZINGINE
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZINGINE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...