Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. kwa wale wenye ndoto za safari za ulaya na wanaofikiria kuwa maisha ya ulaya ndio kila kitu jibu hilo hapo

    maisha ya ulaya yamekuwa magumu kiasi kwamba asilimia kubwa ya watu wanaoishi ulaya hawana vibali vya kuishi na kufanya kazi

    wengi wa watu wa ulaya walikimbia tanzania na kukimbilia ulaya kwa kutegemea kuomba ukimbizi wa nchi za watu kama vile burundi somalia n.k

    kutokana na maisha kuzidi kuwa magumu huko ulaya asilimia kubwa ya watanzania kwa sasa huamua kurudi nyumbani kutumikia taifa

    wale waliokuwa na uzito wa kurudi nyumbani kwa kuogopa kuchekwa eti wamerudi hawana kitu ndio wanaozidi kungangania maisha ya ulaya pasipo na mafanikio

    hapo mtajionea jinsi ya maisha ya ulaya yalivyo magumu kiasi mpaka watanzania wa uholanzi kuamua kuingia kwenye fani ya sinema kwa nguvu kubwa pasipo kutegemea

    hiyo sinema inahusisha karibia watu 20 au zaidi wanaoishi huko uholanzi bila kazi

    ujumbe mzuri kwa ndugu zangu wanaokosa amani katika mioyo yao kwa kufikiria safari za ughaibuni

    ReplyDelete
  2. Wewe anon hapo juu unaongea madudu gani? Most of people with your mentality have lost their self consciousness ...ulaya ni kuja na malengo, it's not like you muppets portray it to others back at home
    Maisha ya ulaya ni magumu (fact) je maisha ya Tanzania nyumbani yapo vipi( more worse)

    Ulaya ni opportunity you have to use it, work hard, save your money and have your goals

    Tell you what
    I came to UK 5 years ago , did my undergraduate degree and masters degree within that period of time
    I wanted to leave back home so I could utilise my knowledge but I was offered a competitive job with a much reluctant salary , I'm still trying to relocate back home with a better job so ican re join with my family back home

    The problem is most get visa they don't reach their esteemed goals and run out of visa and end up living helplessly and complain alot

    Don't mislead others if you think life is worse just go back home
    No one will laugh at you UNLESS you keep telling lies about yourself with those pictures on Facebook

    Just my point of view

    Mr. Mndolele Ngulumbili
    36 Tottenham court rd

    ReplyDelete
  3. Mtoa maoni wa kwanza maneno yako mazuri kwa kiasi fulani kwani kweli nyumbani ni nyumbani tu

    ila ukumbuke kuwa watu hawaishi ulaya au majuu kwa kutafuta pesa tu, kuna mengi mazuri yanayomfanya mtu aende ulaya , kama usalama wako , ugonjwa na maonevu ya kijinga yaliopo hapa kwetu BONGO kila kona

    ulaya maisha ya kawaida tu ya hayo unayoyaita ya mkimbizi basi ni matamu kuliko tajiri wetu wa hapa BONGO, hapa kwetu wakati wowote ule kinaweza kukuripikia ukatafuta roho pakuitia kama hujulikani na mkubwa wa nchi hii
    sio hapo tu ukiwa na ugonjwa wowote ule uwe na mapesa wa kumpa kila daktari ulaya sio hivyo

    au wende INDIA wakakumalize kwani ukirudi india kufikishi mwaka kama umenusurika kufa huko huko bangaloo

    hapa bongo maisha ya kesho ni kitandawili ulaya ukishakuwa umo kwenye orodha yao na computor zao wewe unapeta na kumbuka mtoa maoni wa kwanza kuwa sisi wengine HATUTAKI UTAJIRI ila maisha ya kawaida tu na watoto wetu na hapa kwetu hayapo

    na kuwa huru katika maisha kwani maisha mafupi sana na binaadamu yeyote yule anataka uhuru uwapo mtu wa ulaya unafursa ya kwenda popote dunia hii kimatembezi hapa kwetu BONGO kama una vipesa vyako CRDB na unataka kwenda ulaya matembezi kila gorofa utakalopata kuomba visa unaambiwa ulete makaratasi toka babu yako hajazaliwa uwapatie wao mpaka ukikaribia kuyapata hayo makaratasi ya uongo basi likizo lako hapa BONGO imekwisha

    sasa ndugu yangu wewe mtoa maoni wa mwanzo usitukatishe tamaa ya sisi wanyonge wa BONGO kuitafuta ulaya na kama una akili wewe angalia HII SERIKALI YETU inasaidiwa na hio ulaya wenyewe sasa kama huko ulaya hakuna kitu wangetusaidia sisi hapa BONGO

    wewe unadhani wazungu hawana akili wawe wao hawana kitu halafu wakupe wewe ulie KISARAWE HAPA pumbavu

    ndugu zanguni twenye kasi ya kutafuta safari ya kwenda majuu uzi ndio huo huo tusisubirie serikali hii ya akiondoka baba baada ya mwaka miwili anamueka mtoto wake kwenye madaraka mimi na wewe tumezaliwa kwenye ukoo haumo kwenye serikali sasa unategemea nani atakusaidia ukiumwa figo ........

    mtoa maoni wa kwanza kama wewe ulishawahi kwenda ulaya yakakushinda nikwa ujinga wako wewe kwani ulikuwa huna malengo na ulikuwa mama yako kila wiki yeye anakupigia simu kukuliza unashida gani mwanangu

    ila sisi tunategemewa na familia hapa BONGO na lazima tukatafute huko huko kwa watu wenye akili zao sio hapa BONGO kila mtu mkubwa

    kila la kheri mpiganaji wa kuitafuta ulaya kwa nguvu zote

    KIGAMBONI

    ReplyDelete
  4. SINA maana ya ubaguzi ila katika hii film sioni kama muna MPEMBA humu

    na ninavyojuwa mimi HOLLAND kila kona mpemba kwanini wasicheze film hii jiulize wao wako kwenye kupakia contener na kushusha kwao tu halafu wanambia maisha magumu ...kweli kwa wenye akili ya panzi ..kuchezesha kichwa kila baada ya sekunde

    ReplyDelete
  5. huyu aloandika hii msg kuwa maisha ys ulaya ni magumu sio kweli!! huo ni uchoyo wa nafsi na roho mbaya! hebu tuonyeshe proof wewe una nini huko home!!

    ReplyDelete
  6. je kwani hao ndo wa kwaza kufanya movie ulaya?mbona atanzania mnapeda tabia yakukandiana bila sababu ya msingi tena dume Zima linaweka comment ya kipuuzi km hiyo wacha ivu huo hao vijanakwa kweli wamejitahid sana na movie yao inaoneka ni nzuri sana.mbona wewe kilasiku unaweka maneno yasio na msingi fb mbona watu wanakutizama tu.ukiskia roho y kwa nini ndohiyo waha chuki zisio na msingi hizo.mimi bnafsi nawasifu ana waliofanya hi movie kiukweli wanaonekana wapo makini sana ktk kazi yao na sio kweli km unavosema ati wamekosa kazi au hawana kibali cha kuishi

    ReplyDelete
  7. Msamaji wa kwanza namfagilia wawaaaaaa.

    Jamani waliokimbilia nje enzi hizo rudini muwaone akina mwigulu mchamba, akina tundu lisu, halima mdee na wengine....huku maisha bomba.

    Achana na muvi zisizoelewaka kwa watasha....

    Kuna vijana wamerudi kweli hawana kitu.Mwingina alifungwa , alipoachiwa moja kwa moja uwanja wa ndege, karudishwa bila hata centi

    ReplyDelete
  8. Ughaibuni ni Ughaibuni tafauti na Afrika, Asia au Marekani ya Kusini. Wewe kaa mpaka wakutie pingu wakurejeshe wenyewe.

    ReplyDelete
  9. Kucheza film sio kuwa hana kazi bali ni kipaji wamejiona wanawza na wameweza hao hapo kwenye hiyo film wote hao ni raiya wa holland wacha kibali unachosema wewe kurudi nyumbani au kutokurudi hiyo ni hiyari ya mtu hupaswi wewe kuingilia wala kuumia kwa uamuzi wa mtu husika na kucheza film sio kosa mpaka wewe usime yote hayo hapo Bongo watu wangapi wanacheza film?na wana kazi zao?na hapo bongo unapozungumzia wewe kuna maisha gani hadi unamlazimisha mtu kurudi?robo tatu ya watu wanashindwa kununua king'amuzi kweli hapo ndo kuna maisha?wacha watu watafute maisha kupata au kukosa ni kazi ya mungu hapo bongo watu wanahangaika sana na hawapati na kuna watu wala hawahangaika na wanapata so huo ni mfumo na watanzania hapo Ulaya wapo hata Africa kama South Africa,Zambia,Malawi,Msumbiji na huko pia kuna hala mbaya za maisha ila watanzania wanakwenda kwa sababu mfumo uko hivyo na uamuzi wa mtu kilichobakia kwako wewe ni Husda tu

    ReplyDelete
  10. ujumbe gani huo wewe acha wivu na watu wa ulaya ukiwa hivyo hutofika mbali na walio huku ulaya wanaishi dunia nyengine sio dunia yenu ya vumbi ukizingatia rais wako alikuwa hapa holland majuzi kwa hiyo acha kuongea pointless zako za jealous

    ReplyDelete
  11. don't be a hater whoever u r, u should be happy to your country peoples doing something good instead u wright pointless here negative, I tell u the fact all of these poeples were on this movie have netherland citizen so don't get twist u think hawana kazi wana ajira zao from monday to friday sawa kwa hiyo usiwe hater ondoa pointless comments zako hapa ulaya kawaida tu hata bongo kwenyewe hakuna ajira alafu unataka kufananisha bongo na holland, raisi wetu siku chache alikuwepo hapa kwa nini? nadhani jibu unalo, take it easy nothing personal

    ReplyDelete
  12. acha wivu na wala usifananishe maisha ya europe na bongo ni totally diffent so think before u wright something negative about others

    ReplyDelete
  13. napenda kuchukua nafasi hii kukujibu wee Anonymous kwakuandika habari ambazo haziusiani na movie ,mie nahisi umeona wivu na roho mbaya kwani hata hakuna aliye kuuliza kama hawa wanao cheza movie wanakazi gani hiyo ni roho ya kwanini na pia katika nchi ambayo bila karatasi uwezi kuhishi ni uholanzi hivyo wacha roho mbaya haita kusaidia kitu zaidi yakuishia kupata mikosi isiyo isha ulifikiri bila wewe movie haitokuwa ?ulisema haitokuwa sasa imekuwa wacha wivu mtoto wakiume kila mtu kaja kwa njia yake hata wewe ulikuja kutafuta

    ReplyDelete
  14. Ulaya ni kuku kwa mlija Bongo vumbi tu...na mimi ndo nimelikita Ulaya bongo itakua ngumu kurudi.,,,,what am gonna do there?....Ulaya hakuna Inzi wa Mbu...kuku na beer kilasiku.mtuache na Ulaya yetu Mdau kutoka Sweden.

    ReplyDelete
  15. movie inaonekana itakuwa ni nzuri sana nasa ila mlocheza hi movie nawaomba msivujike moyo zidisheni bidii huyo aloandka upuuzi hapo juu ni ndugu yenu mlikua nae na saiv karudi kazi yake kuandika manenoya ya kipuuzi fb maana huko bongo hana la aana had sasa ndio maaana kila dakika anandika vijineno fb na saiv kawaona nyie mpo hapa ula na mmefanikiwa kufanya move basi wivu umeaa na ndio mana kamua kuwakandia ila ukiona mtu anakandia ujue anakuheshimu

    ReplyDelete
  16. huyo anonymous wa kwanza naona maisha yanamtandika kwelikweli sasa ana hasira na watu waliobahatika kuja ulaya imekula kwako baba sisi tulioko huku majuu tunakula kuku kwa mrija wewe kama umejaribu kutafuta viza ukakosa hiyo ni shida zako kaa shida ukuzoe usiwe na hasira na watu na maisha yao hata siku moja huwesi kulinganisha usingizi na kifo maana yake huwezi kulinganisha bongo na ulaya never wacha wivu badala kuwapongeza watu na kazi yao nzuri wamejituma wewe nimakashfa ya wivu na roho mbaya ndiyo maana ziki imekuganda kama luba sasa ngoja nije kwenye point hii movie ni nzuri sana mmejitahidi sana wahusika bigup

    ReplyDelete
  17. Hee kwani Sonigwe ni raia wa Halland? Eti Soni una mkoba mwekundu au mambo ya AZC?

    ReplyDelete
  18. hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha

    ReplyDelete
  19. hahahaha wera wera

    ReplyDelete
  20. acheni nicheke ninenepe

    ReplyDelete
  21. naona ana POCHI ya njano sio MKOBA mwekundu;

    ReplyDelete
  22. unajua kuna watu sijui wana unafiq wa kiasi gani hilo puuzi linakandia watu na kutaja majina ya watu ni wazi nyie mlocheza movie mnajuana nae sana na inaonekana mkiongea nae anajifanya mwema sana kwenu na ndugu yenu hapo sasa ndo mjue ndugu zangu sio kila iunocgeka nae usoni ukadhani na rihoni anacheka na wewe.kwa kifupi nawapa hongera nyote mlocheza movie na ukweli mmewasuta wajinga wajinga maana nasikia mlipoanza wajinga wengi walikua wanaseMA KM khaa! hawa wanataka kuchekesha watu ah! movie watafanya wao na mengine mengi walisema ila leo mmetoa trailer tu wamechanganyikiwa na wanajisuta na roho zao.je mkitoa movie yenyewe itakuwaje? ok nawapa hongera sana kwa kazi mlofanya ukweli ni vigumu mtu kuamini km ndo kwanza mnaanza BIG UP kwa nyote mlocheza movie hiyo na nimeipenda sana tailer yenu na inaonekana itakua ya nzuri sanaaaaaaa msivunjike moyo hata wasemeje nyie wajibuni kwa kutoa movie nyengine na nyengine mpaka wajinyonge kwa wivu.tena saiv ndo mnaingia ktk ulimwengu wa kisuper star na na ukiwa sueperstar lazima usifiwe na wengine watakuonea wivu watakukandia kwani miaka mitano ilopita kuna mtu alokua anamjua diamond ila saiv kila mtu anamjua na yupo juu so na nyie kwa hi trailer nawapa uhakika mshakua mastar cha muhimu msichoke kutoa movie nyengine na nyengine na kila mkitoa jitahidini natoa kali zaid ya mwanzo

    ReplyDelete
  23. huyo dada alocheza anasema kua yeye atakwenda disco kama kawaida na mwanamme hamshuhulishi kitu ah!nimependa uigizaji wake na huyo mwanamme anaovua pete he anaonekana mkali wa kuigiza sana pia nimependa huyo mama kapatia kweli na wengine wote mpo poa sana.mdau kutoka US

    ReplyDelete
  24. jamani wivu mbaya tena unaweza kuua sasa mambo ya mkoba mwekundu na njano yanatokea wapi?na huyu dada mpaka mnamtaja jina kawafanya nini hasa?mimi kwa mtazamo wangu mnamuogopa maana hii trailer tu maneno kibao je movie yenyewe?mimi namfagilia kwa sana na wote waliofanya movie hii mtafanikiwa tu Inshaalah na huyo dada mnaetaka kujua ana mkoba gani mi namuona ana michael koers na majina mengine mengi pia namfagilia anajua kuvaa na anapendeza na kwenye movie yake nategemea mapigo keep it up achana na wanafiki hawana cha kufanya wajibu kwa kufanya vizuri katika kila kitu umeshawaacha hao wanataka kukurudisha nyuma kwanza hata hao wenye mikoba au kitu gani wanakuzimia kwa taarifa yako huwa wanakusubiri wakuone una mapigo gani madeni ya wadachi yamewadatisha nakupa big up na wenzio wote

    ReplyDelete
  25. hapo chacha, roho mbaya haijengi jamani zee zima maisha yashamshinda anakaa kukandie wenzie hiloooooooooooooooooo kunuka tu

    ReplyDelete
  26. Mhh makubwa hayo, mambo ya ngoswe muachie ngoswe. kama huyo mtu anaekandia mnajua muanikeni hadharani siyo kuhisi tu. Dhana ni mbaya.

    ReplyDelete
  27. roho mbaya mnacheka nao mnakula nao wabaya ndio hao hao wamechelewa kweli wanakumbuka shuka washaliwa na mbu hahahahhahaah nakupeni big up wote onyesheni vipaji wenye madeni wamedata wadachi noma lipeni madeni hahhahahah mapaka wengine wanakimbia nchi oooo holland mbaya hakuna lolote mmeyachezea maisha wenyewe waacheni au muachni huyo dada mi nazimia na mguu wake hahaha basi acheke na mwanya wake na amejitahidi sana kama kasomea kaole ?????Allah yuko nawe moja moja litafunguka watatafuta pa kujifisha big up my sister

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...