Mpiganaji Joseph Msami, ambaye ni mwandishi wa Habari wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa, akimfanyia mahojiao, Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi, wakati Watanzania waishio jijini New York na Vitongoji vyake walipokutanika siku ya jumamosi kusherehekea miaka 47 ya Muungano
Home
Unlabelled
mpiganaji joseph msani akiwa mzigoni new york
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...