Boney M waliimba 'Jambo Bwana' kwa Kiswahili nasi tunawapa watani wetu wa jadi kwa kupata rais wa nne

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Boney M,

    Kundi hili lilitesa sana hapo Jijini Stuttgart-Ujerumani, palipokuwa Makazi yake makuu Enzi hizo miaka ya 1979-1981 hivi.

    Liliundwa mwaka 1975 lakini likapata umaarufu zaidi miaka hiyo hapo juu.

    Ohhh, tunalia saaana, tunakumbuka mbali saaana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...