Kaka Fresh Jumbe anatamba hadi aliko huko Japan na ngoma yake ya 'Ama zake ama zangu' aliyoimwaga na Dar International enzi hizo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michu, nimeshajua ume-mind nini ktk hii 'video' shauri zako Mkuu

    ReplyDelete
  2. Mdau namba moja juu si useme tu MAUNO lol

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...