Ngoma ya Skylight Band ya 'Nasaka Dough' iko bomba...!
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ya ukweli sana! BIG UP.... yaani nomaaaa
ReplyDeleteKilicho ni boa ni kimoja tu. Bendi ya Tanzania, kwenye video kichwa cha treni kimeandikwa Masai wa Kenya. Mnaona kama ni vitu vidogo lakini vikubwa sana ktk fani ya "marketing," ama "public relations," then kila siku twalalamika watani wanatupiga bao, ni kweli! hata kama mmeifanyia Kenya mlikuwa na uwezo wa kusema hatutaki ionekana hivi. Ni mawazo tu yangu.
ReplyDeleteMarketing kwa wasanii wetu bado kwikwi na ukiwaelimisha basi unajenga chuki au bifu
ReplyDelete