Mkurugenzi mkuu wa Nhif akitoa taarifa fupi
ya mfuko wa Bima ya Afya kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuhusiana na
mpango endelevu wa kuleta madaktari Bingwa Mikoani
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi Abdallah Ulega
akikabidhi msaada uliotolewa na NHIF kwa hospital ya Sokoine.
Baadhi ya madaktari Bingwa wanaotoa tiba katika Hospital ya
Mkoa wa Lindi kwa Ufadhili wa NHIF.
Kaimu mkuu wa mkoa wa Lindi,Abdallah Ulega akizungumza wakati wa kuzindua tiba ya Madaktari
Bingwa toka Muhimbili watakaotoa tiba kwa wateja wa Nhif na wasio
wateja hadi tarehe 13 April 2013.
Kirefu cha NIF ni nini?
ReplyDelete