Plot inauzwa,ipo BUNJU A plot no 74 kina septic tank na Banda kwa mawasiliano zaidi piga simu no 0756573337 Lazaro, 0766316497.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Bei ni Bilioni ngapi?

    Maana siku hizi ukisikia Kiwanja, Jumba bovu, Shamba na hata Kichaka kinauzwa, mara zote tegemea bei kuanzia Bilioni moja!!!

    ReplyDelete
  2. Mdau, tafadhali tuwekee mafao unayotegemea kwani viwanja vinavyo uzwa ni vingi tu labda ukitupatia bei tunaweza kuvutiwa zaidi. vile vile ukubwa wa kiwanja chenyewe ni muhimu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...