Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Ibrahimu Mussa (kulia) akihojiwa na mwanahabari jijini Shanghai wakati wa roadshow iliyofanyika jijini hapo kutangaza utalii wa Tanzania. Katikakti ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao.
Maafisa kutoka Tanzania (kutoka kushoto) Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Dk. Aloyce Nzuki; Meneja Sheria wa Mamlaka ya Ngorongoro Egidius Mweyunge; Meneja Huduma za Utalii wa TANAPA Johnsone Manase na Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Ibrahimu Mussa wakiwa katika roadshow hiyo jijini Shanghai.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao akifungua roadshow jijini Shanghai.
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Dk. Aloyce Nzuki akiwasilisha mada kuhusu Utalii wa Tanzania kwa wakazi wa Shanghai China.
Baada ya uwasilishaji wa mada Watanzania hawa walijumuika kuimba pamoja wimbo wa TANZANIA YETU NCHI YENYE FURAHA mbele ya halaiki ya wakazi wa Shanghai China.
Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Ibrahimu Mussa akiongea katika roadshow hiyo.
Meneja Huduma za Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Egidius Mweyunge akielezea fursa za uwekezaji zilizopo katika mamlaka hiyo.
Meneja Huduma za Utalii wa TANAPA Johnsone Manase akielezea fursa za uwekezaji zilizopo katika Hifadhi za Taifa.
Sehemu ya wakazi wa Shanghai wakifuatilia mada katika roadshow hiyo.
TUPIA HII MICHUZI USIIBANIE MKUU;
ReplyDeleteNASHUKURU KWA KAZI HIYO NJEMA KWANZA MNAYOFANYA HUKO.LKN MBONA UTALII MNAOTANGAZA NI KUONYESHA WANYAMA NA MLIMA KILIMANJARO TU? VIPI KUONYESHA MAHOTELI,VINYAGO,NA NYUMBA ZA WAO KULALA,MNAONYESHA MAPORI INAMANA SIE TUNAISHI NAO HAO WANAYAMA MAPORINI?-ONYESHENI NA MIJI YETU,SEHEMU WANAZOFIKIA,MABASI AU MAGARI MAKALI AU MAZURI YAKUWAZUNGUSHA HUKO,NAMNA YA KUWAPOEA WAGENI KWA UKALIMU USIO WA KAWAIDA,ILI WAWEZI KUJA,SASA UNAPPONYESHA MILIMA TU MAZIWA ,WANYAMA HAILETI MAANA.KITU KINGINE HAPO KWENYE PICHA MNAWAWEKA HAO WATOTO AU WADOGO ZETU WAKIWA KIFUA WAZI ,,SASA NA UMASIKINI NAO UMEKUWA KIVUTIO TENA CHA WATALII? -HAO WATOTO WA WENZENU MNAWACHORESHA SIO VYEMA BORESHENI NAMNA YA KUTANGAZA VIVUTIO VYENU HII SIO MIAKA YA 60 HUKO NYUMBA,WEKENI VITU VYA UKWELI KWA AJILI YA KUSHINDANA NA NCHI ZINGINE,KWANI HAO WANYAMA WAPO SEHEMU NYINGI SANA ILI SASA KUWAPIKU WENGINE KUNA VITU KAMA MAJENGO,UKARIMU.MIUNDO MBINU KWA UJUMLA.NAWAKILISHA