Mgeni Rasmi kwenye hafla ya Kupongeza Ushindi wa Bia Bora Barani Afrika ulioupata Bia ya Safari Lager,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Anne Makinga (katikati) akiwa amenyanua juu moja ya vikombe vya ushindi huo ikiwa ni ishara ya kuzindua ziara Bia hiyo katika mikoa mbali mbali hapa nchini ili kuwaonyesha Watanzania ushindi huo.
Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinga akitoa hotuba yake fupi kwa waheshimiwa Wabunge na Wageni waalikwa waliokuwepo kwenye hafla hiyo iliyofanyika usiku huu kwenye viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa Miradi Maalum wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Phocas Laswai akitoa hotuba yake mbele ya Mgeni Rasmi,Viongozi mbali mbali pamoja na wageni waalikwa waliohudhulia hafla hiyo iliyofanyika usiku huu kwenye Viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo akiutambulisha Ujumbe wa TBL ulioambatana nae kwenye ziara hiyo.
Mpishi Mkuu wa Bia za TBL,Gaudence Mkolwe (kulia) akitoa ufafanuzi juu ya utaalam uliotumika kutengeneza Bia hiyo hadi kupelekea kuibuka na ushindi huo mkubwa Barani Afrika huku akisikilizwa kwa Makini na Mgeni Rasmi pakoja na Waheshiwa Mawaziri na Wabunge waliokuwepo kwenye hafla hiyo ya kupongeza ushiwa huo wa Bia Bora Afrika ulioupata Bia ya Safari Lager.
Tukio la Picha ya Pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hapo wanacheza kistaarab na wamechanganyikana,subiri sasa waingie bungeni maana siku hizi wanaonyeshana ubavu nana mzungumzaji vizuri wa maneno ya mtaani

    ReplyDelete
  2. Aibu tubu ktk bunge hili hasa wabunge wa CCM, wabunge wao kala vile Deo na Mpina wakisema wanaambiwa ni wapinzani! NI aibu iliyoje? LUkuvi historia itakuhukumu kuwa makini.

    ReplyDelete
  3. Mtezame huyu dada upate kujua "starehe" ya kunywa Bia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...