Itazame dunia kwa jicho la 3 utabaini kuwa;

1). Maisha yamekuwa mafupi
2). Usaliti umezidi.
3). Pesa ndio kila kitu.
4). Mapenzi yamekuwa fasheni.
5). Uongo ndio silaha.
6). Upendo wa dhati umekufa...imebaki tamaa tu!
7). Mawazo yetu yako kwenye pesa na mapenzi tu!
8). Ibada kwa Mwenyezi Mungu tunafanyia mazoea tu...si kutoka moyoni.
9). Kigezo cha uzuri kimekuwa shepu na sura si ''Tabia''.
10). Vizuri machoni ila si ''Imara''.
11). Ukizubaa katika jambo lolote imekula kwako.....SO TAKE CARE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hayo yote nadhani ni huko nyumbani maana pande hizi za ughaibuni hasa scandinavia ambako mimi nilipo yote uliyoyasema bado hayajathibitika.

    ReplyDelete
  2. KWA MIMI NILIVYO MUELEWA MTOWA MADA HAKUMAANISHA DUNIA BALI KAANGALIA MAENEO YAKE HASA KULEEEE ANAKOISHI YEYE.
    FUNGU Nr5 WATU WAMECHUKULIA KAMA UTANI NA MIZAHA WANAPO SEMA UONGO LAKINI MADHARA YAKE YAMEOTA MIZIZI HADI NDANI YA VIZAZI VYETU. LAITI KAMA WATANZANIA WANGEJUWA MADHARA YA KUSEMA UONGO NA KUUOGOPA NCHI INGEPAAAA KWA MAENDELEO.
    UNAKUTA WAZIRI NA NAIBU WAKE AU MKURUGENZI MKUU WIZARA MOJA ETI WANAPISHANA KAULI (HII NI AJABU) NIMETEMBEA SAHEM MBALI MBALI ZA DUNIA SIJAONA HAYA YANAYO FANYIKA NCHINI KWETU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...