Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo kuongoza Watanzania kusherehekea miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Pamoja naye kwenye gari hilo la wazi ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange
Nyomi si ya kawaida hata pa kutema mate hakuna
Msafara wa Rais Kikwete ukizunguka uwanja wa Uhuru
Nyomi ya leo. Taswira zingine na kumwaga baadaye.
Udumu Muungano!Nani ameruhusu huo uwanja utumike jamani.Majukwaa hayo si bado ujenzi unaendelea?,halafu yakibomoka na hiyo "nyomi" tunasema ni mapenzi ya mungu.Dont take chances...c'on.Uwanja mpya si upo??
ReplyDeleteHivi yale magari ya Nyumbu aliyokuwa akitumia Ben yako wapi siku hizi? Hata JK alikuwa akiyatumia. Yalikuwa yanafaa sana kwa sherehe za kitaifa. Walau tulikuwa magari yetu. Kama yameharibika JWTZ wayafufue au watengeneze mengine mapya. Fikisha ujumbe kwa wahusika.
ReplyDeleteudumu kwenu huu muungano siyo kisiwani amin
ReplyDeleteMdau wa 3 mpinga Muungano anony wa Sat Apr 27, 12:20:00 am 2013
ReplyDelete...Udumu Muungano hadi Kisiwani Zanzibar...!!!
Ni kuwa umesha ukalia na umenasa!
Wewe ni Simba S.C umekalia LIBOLO mwanawane!
Muungano haufi ng'o utakufa wewe na mimi!