Home
Unlabelled
TAARIFA KUTOKA TFF LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yanga nawaomba sana, shangilieni AZAM,tafadhali.Nilibahatika kushuhudia mechi ya Azam na Barrack Y.C.II ya Liberia majuzi.Mwanzoni kabla ya mchezo kulikuwa na mgawanyiko,Yanga waliwazomea wageni lakini kadri mchezo ulivyokuwa unaendelea Yanga ikawa "inageuka" kuwa Barrack!(kuna ujumbe HASI ulienezwa haraka miongoni mwa Mashabiki wa Yanga).Timu zetu zinapocheza na timu za nje tuungane kuzishangilia kama ilivyo kwa Stars.Kuna faida nyingi za kufanya hivyo.
ReplyDeleteDavid V