MDAU Said Mdoe amefiwana dada yao kipenzi Fatma Mdoe (pichani) aliyefariki ghafla jana (Jumatano) saa 10 jioni. Msiba uko nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach, Dar es salaam, jirani na Dr Hizza.
Mazishini yatakuwa leo Alhamisi saa 10 Alasiri katika makaburi ya Kisutu, jijini Dar es salaam. Msafara wa kutoka Mbezi kuelekea makaburini utaanza saa 8.30 mchana ili kukabiliana na adha ya foleni.
Mungu amlaze mahali pema Peponi
AMINA.
poleni. such a beauty...
ReplyDeleteAnnoy: not only the beauty But also the Brains. poleni sana this is a big loss. RIP
ReplyDeleteShe was so sweet!!!n very beautiful!! to die...RIP.
ReplyDeletePoleni sana.
Delete