Home
Unlabelled
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU UHAMAJI KUTOKA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sawa Mheshimiwa Mbarawa vitisho vyako tumevipokea lakini mie nimenunua kisimbuzi na nikaa bunju lakini matangazo sipati kila baada ya nusu dakika tivii inaganda nifanyeje....inamaana hatuna haki ya kuhoji uamuzi wenu kama ni value for money kwa sie wananchi au kwasababu mshagawa tenda na hao watendaji washindwa kujenga antenna za kurushia matangazo tubaki kimya?
ReplyDeleteNILIFIKIRI TUPO KWENYE BOTI MOJA KUMBE WENZETU NDIYO SEHEMU YA KUTUNISHIA MISULI WENGINE KUTAKA KUONYESHA MPO KAZINI?...MBONA YOTE NI KWA NIA NJEMA TU...UKWELI TCRA MMEKURUPUKA KUTAKA SIFA TU...HAKUNA ASIYEJUA UMUHIMU WA DIGITALI LAKINI WENGI WETU BADO KIUCHUMI TUNGEHITAJI MUDA KIDOGO. VING'AMUZI VINAHITAJI KUJIPANGA. HARAKA ZA NINI..AU NDO KUJENGA HISTORIA? ETI WANANCHI WANAAMBIWA UONGO KUICCHUKIA SERIKALI..! KWANI HATUONI KWIKWI...HIZI SIFA ZINGINE HAPA SI MAHALI PAKE...MH. WAZIRI HILI SI LA KUTUMIA MISULI NA KAULI ZA PAPARA HAPA SI MAHALI PAKE. FANYENI UTAFITI MSIWEKE SIASA KWENYE UKWELI..KWANI TUKITUMIA NJIA ZOTE MBILI KWA MUDA MAALUMU KUNA DHAMBI GANI? MBONA YOTE NI KUJENGA NYUMBA MOJA MISULI YA NINI SASA..!!
ReplyDeleteMzigo mkubwa anabebeshwa Mnyamwezi!!!, \
ReplyDeleteKwa nini hao hao Mabepari wa ITU huko Geneva Uswisi wasibebeshwe mzigo wa kugawa ving'amuzi diunia nzima kama wanataka kufanya biashara na mabadiliko ya mfumo wa mawasiliano?
Kwa nini Dunia inaendeshwa na kupelekeshwa na Mashirikisho haya kama ITU?
ReplyDeleteHivi jamani maamuzi hayapewi Demokrasia na ushirikishwaji wa Mataifa wanachama wa hiyo ITU?
Kwa nini ITU ipewe mamlaka ya kuyaburuza mataifa duniani?