Mdau Adam Nderumaki anatangaza kifo cha baba yake Mzazi kilichotokea usiku wa Jumatano katika Hospitali yay a Taifa Muhimbili. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu  Mzee Bernard Nderumaki Victoria, Kijitonyama.

Ibada ya kuaga mwili itafanyika nyumbani kwa marehemu siku ya Jumapili saa 8 mchana na mazishi yatafanyika siku ya Jumatatu Kilema Moshi.

Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, Amen.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. RIP Mzee NDE

    ReplyDelete
  2. Poleni sana wafiwa. Huyu Mzee Nderumaki ni baba yake na Margaret Nderumaki pia aliyekuwa mwalimu?? R.I.P. Mzee Nderumaki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...