Home
Unlabelled
Uhuru Kenyatta on Zuku Road to Statehouse
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Big up President to be Sworn in a.k.a President ELECT Hon.Uhuru KENYATTA!
ReplyDeleteKwa kweli Uhuru ni Raisi wa faida kwa Afrika ya Mashariki kwa kuwa kama angepita Odinga ni hati hati Kenya kama sehemu ya Afrika ya Mahsariki ingekuwa chini ya Marekani na Uningereza.
Ni wazi Odinga ana Maslahi zaidi na Western US, and UK zaidi ya East Africa pia ni muhimu tuelewe ya kuwa :
1.Uingereza haikumpenda Uhuru Kenyatta juu ya suala Zima la Madai ya Mau mau na Kesi iliyopo ICC ambayo ina dalili za Kisiasa zaidi kuliko ilivyo.
Kwa sababu hizo 2 juu pana Gazeti moja la Uingereza liliandika wiki moja kabla ya Uchaguzi wa Kenya ya kuwa endapo Uhuru Kenyatta atashinda Kenya itatawaliwa na wahalifu wawili wa Kivita, huku Gazetilingine la Unigereza likiandika ya kuwa endapo Uhuru Kenyatta atashinda maslahi ya Uingereza yatatetereka, ni kuwa Uhuru Kenyatta kama Raisi wa Kenya atahakikisha anawasimamia Maumau kuiburuza Uingereza ktk Mahakama za Kimataifa na kuepelekea kuilipa Kenya Fidia kubwa.
2.Marekani, kama Mshirika mkubwa wa Uingereza ikapandikizwa msimamo huo kama wa Uingereza kwa suala la Kenya ktawaliwa na Wahalifu wawili wa Kivita endapo Uhuru Kenyatta atashinda, pia Marekani ya Obama ina ukaribu wa kindugu kati ya Obama na Oginga hivyo ndio maana ni wazi Obama na Marekani walisimamia kwa Odinga na huku hakikutoa salamu za Pongezi kwa Uhsindi wa Uhuru hadi Maamuzi ya Mahakama kuu ya Kenya kutupilia mbali madai ya Uchaguzi ndio Marekani na Obama inatuma salamu kupitia kwa Balozi wake Kenya na sio moja kwa moja salamu kwenda kwa Uhuru Kenyatta.
Hivyo Afrika ya Mashariki imepiga bao kumpata Raisi Uhuru Kenyatta!!!
Odinga na Musyoka wameiaibisha Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwa kwenda Afrika ya Kusini kwa Mapumziko badala ya kuhudhuria kuapishwa kwa Raisi mpya wa Kenya.
ReplyDeleteTuamke na tuepukane na Viongozi wa aina hii!
Hii kweli ndiyo Siasa na Ustaarabu alikouwa anaunadi kipindi cha Kampeni?
Afrika ya Mashariki na Kenya zimepiga bao kumpata Raisi wa Kenya Mhe. Ndg. Uhuru Kenyatta!
ReplyDeleteUhuru Kenyatta:
ReplyDeleteKesi inayopigiwa Chapuo sana na nchi za Magharibi ndiyo imekuwa kigezo cha Kampeni dhidi yake, huku nchi za Magharibi hizo hizo zikiwa na Agenda zao nyuma ya Pazia.
Raila Odinga amekuwa akiegemea sana Magharibi hususani kwa ndugu yake Obama huko Marekani na Uingereza, huku akiwa hana time na nchi ndugu zake wa Afrika ya Mashariki na Afrika kwa ujumla.
Hiyo imekuwa ni afueni kwa Afrika ya Mashariki ambayo inahitaji Ushirikiano na nchi kwa malengo na sio kwa faida ya wengine pekee.
Ni wazi Uhuru Kenyatta hatakuwa na TIME na nchi za Magharibi, ataelemea zaidi ktk nchi za Afrika na wenzake Afrika ya Mashariki na pia nchi zingine za dunia na atatafuta mwelekeo mwingine.
Wanao susia Sherehe za Kuapishwa Uraisi ktk Afrika na Afrika Mashariki wanatutia aibu sana.
ReplyDeleteHebu angalieni,
1.Etienne Tshisekedi wa DRC alisusia kuapishwa kwa Raisi Joseph Kabila huku yeye akijitangaza kuwa ndiye Raisi na Kujiapisha mwenyewe!
2.Kiongozi mmoja (Chama cha Upinzani kapuni) Mgombea Uraisi hapa Tanzania Uchaguzi Mkuu wa 2010 alikataa kutambua Matokeo ya Uraisi na akasusia Sherehe za Kuapishwa Raisi!, mwaka uliofuata Wanasiasa wa chama chake walialikwa Ikulu na yeye mkataa Matokeo ya Kura za Uraisi, aliyesusia Sherehe za Kuapishwa naye akajumuika kwenda Ikulu!
3.Na leo yanatokea tena Jamhuri ya Kenya Raisi Mteule Uhuru Kenyatta anaapishwa ktk Sherehe huko Nairobi huku Mgombea Uraisi mpinzani wake akiwa Mapumzikoni Afrika ya Kusini!
Hatukujifunza?, mbona Marekani Mgombea Mitt Romney alimpongeza Mpinzani wake Obama kwa Ushindi na akahudhuria sherehe za Kuapishwa Obama?
Ni aibu kubwa sana na dosari kwa Raila Odinga kukwepa kuhudhuria Sherehe za Kuapishwa kwa Raisi wa nne wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta.
ReplyDeleteMambo haya kwa Afrika ya Mshariki hayatufai, huu ni Ukanda unaoamka Kimaendeleo na Kisiasa hivyo Itikadi na Misimamo ya Kiza sio mahala pake ktk Afrika ya Mashariki.
Duhhh Sherehe zimefana sana!
ReplyDeleteUhuru Kenyatta hureeeeeeee!!!!!!!!
Odinga sasa wale waliokuwa wanakuunga Mkono mpaka dakika ya mwisho Marekani na Uingereza wamekuja kwenye Sherehe, wewe unakwenda South Africa!
Ungeenda kwa ndugu yako Obama ukampe salamu jinsi Uchaguzi ulivyokwenda Kenya hadi ukashindwa.
Kweli ujinga bado hatujaufuta!! Yaani mtu unadiriki kusema kwamba Mitt Romney alihudhuria kuapishwa kwa Obama? Unaishi dunia gani wewe ndugu? Kwa taarifa yako Romney hakuhudhuria kuapishwa kwa Obama.
ReplyDeletePia, mwaka 2002 huyo huyo Uhuru aligombea urais lakini alishindwa vibaya sana na Mwai Kibaki. Naye (Uhuru) akasusia kwenda kwenye uapisho wa Kibaki.
Hivyo, kabla hujarusha madongo ya shutuma kwa Raila yarushe kwanza kwa huyo Uhuru wako na Mitt Romney.