Msanii
wa Muziki wa Kizazi Kipya wa miondoko ya kufokafoka,Joh Makini akifanya
vitu vyake mbele ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine jijini
Mwanza waliofurika kwa wingi kwenye viwanja vya Raila Odinga ndani ya
Chuo hicho,jijini Mwanza.hii ni katika Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya
kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu
ya juu ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na
fedha taslimu.Kampeni hiyo inajulikana kama Exel with Grand Malt,
tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya Raila Odinga ndani ya Chuo
Kikuu Mt. Augustine jijini Mwanza.

Wanafunzi
wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine jijini Mwanza wakichuana vikali katika
Mtanange wa Mpira wa Miguu kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya
kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya
juu ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na fedha
taslimu.Kampeni hiyo inajulikana kama Exel with Grand Malt, tamasha hilo
lilifanyikia katika viwanja vya Raila Odinga ndani ya Chuo Kikuu Mt.
Augustine jijini Mwanza.

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine jijini Mwanza wakichuana
vikali katika Mpira wa Wavu (Volleyball) kwenye Uzinduzi wa Tamasha la
kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi wa vyuo
vya elimu ya juu ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni
pamoja na fedha taslimu.Kampeni hiyo inajulikana kama Exel with Grand
Malt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya Raila Odinga ndani ya
Chuo Kikuu Mt. Augustine jijini Mwanza.

Meneja
Matukio wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Ziwa,Erick Mwayela
(katikati) akishirikiana kupanda Miti na Mkuu Msaidizi wa Wanafunzi wa
Chuo Kikuu cha Mt. Augustino jini Mwanza,Kizoto Mbonde na Makamu wa Rais
wa Chuo hicho,Emiline Mrosso.Upandaji miti huo ni sehemu ya kampeni ya
kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza
kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo
kama Exel with Grandmalt.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...