Tumefungiwa ndani, hakuna kutoka nje! Wanasema kuwa hakuna kufungua mlango hata kama ni polisi, wanasema kuwa jamaa anataka kuua watu!  Chini ni Tangazo la gaidi wanayemtafuta! Nilikuwa nawaona hapa Cambridge lakini nilidhani ni wanafunzi wa kawaida!

Toka kwa Da'Chemi CheMponda


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mmelazimishwa kuishi huko si mrudi kwa jakaya ama hamna makaratasi

    ReplyDelete
  2. MIMI SIPO BOSTON,ILA NIPO MAMTONI KWENGINE TU MVUA YA ISHIRINI NA USHEE SASA NADUNDA KAMA KAWA,PIGA UA GALAGAZA BINGILISHA MWAGIA UPUPU MWILI WOTE HALAFU SUGUA CHACHANDU NA PILIPILI KICHAA MACHONI, BONGO SIRUDI.LAKINI NITAENDELEA KUJA LIKIZO NA KUTAMBIA MIZIMU, HII INATOSHA.

    ReplyDelete
  3. tuonyeshe passport yako tuone imeandikwa umezaliwa wapi kama sio somali nini wewe katambie wajinga hukooooooo kismayoo

    ReplyDelete
  4. ha ha ha ha ha ha jamaa kaukana ubongo,...KING JOJO

    ReplyDelete
  5. DOGO WAMESHAMKAMATA

    ReplyDelete
  6. DOGO WAMESHAMKAMATA

    ReplyDelete
  7. ENDELEENI KUISHI MAISHA YA KUTOA RUSHWA KWA KILA KITU UNACHOTAKA KUPATA HATA KAMA NI HALALI YAKO!
    SISI HUKU TUNAISHI MAISHA MAZURI SANA NA WATU WOTE TUPO SAWA HUWEZI KUJUA MASIKINI NI NANI NA TAJIRI NI NANI WOTE TUNAISHI SAWA KABISA! HAPO NYUMBANI BILA RUSHWA HUWEZI KUISHI KILA MTU MWENYE UNAFUU WA MAISHA ANAIBA KUPITIA SEHEMU ANAYOFANYIA KAZI BADALA YA KUISHI KWA MSHAHARA HALALI. KILA MTU ANAONA SAWA TU! BADILISHENI MAISHA YAWE SAWA KWA WATU WOTE. USAFIRI WA UHAKIKA, MATIBABU YA UHAKIKA.
    UMEME WA UHAKIKA NCHI NZIMA! NYUMBA SAWA KWA WATU WOTE NA WOTE WAPIKE CHAKULA KUTUMIA UMEME AU GESI. UKITAKA KITU UNAPATA BILA KUOMBWA RUSHWA!
    HAKUNA KUTUMIA MAJINA YA WAKUBWA AU WATOTO WAO KATIKA KILA UNACHOTAKA KUFANYA IWE KUOMBA KAZI, POLISI, HOSPITALI, MAHAKAMANI, YANI MAMBO YOTE YAFANYIKE KWA MPANGILIO NA KUFUATA TARATIBU ZILIZOWEKWA, SIO WATU FULANI WACHACHE WANAONEKANA KAMA MIUNGU WATU! HUKU HAKUNA MAMBO HAYO KILA MTU ANAPATA HAKI ZAKE ZOTE BILA KUJALI UNATOKA TAIFA GANI. KAENI NA UJINGA WENU WA KUPATA ELFU KUMI AU ISHIRINI KWA RUSHWA SIKU UKITOLEWA SEHEMU HIYO UNAKUFA HARAKA KWA MAWAZO HUKU WATU WOTE WASIO NA KAZI WANALIPWA MISHAHARA NA NYUMBA WANALIPIWA TENA WOTE NYUMBA ZA KUFANANA! HAPO BONGO NI NANI ANAYEISHI KAMA HUKU? USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA NENE NAONA BADO UPO SHIMONI! TEMBEA UJIONEE USINGOJE KUAMBIWA.

    ReplyDelete
  8. Mambo yakiitntelijinsia hakuna hata kutoka nje sasa wenzangu na mia wa mlo moja cjui inakuweje?

    ReplyDelete
  9. PILI PILI IKO SHAMBA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...