Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Rcihard Lyimo (kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo (jumanne, April 2, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine ni Wajumbe wa Tume, Maria Kashonda (katikati) na Said El- Maamry.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Raya Suleiman Hamad (kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo (jumanne, April 2, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni Wajumbe wa Tume, Humphery Polepole na Jesca Mkuchu.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Salama Kombo Ahmed (katikati) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo (jumanne, April 2, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine ni Wajumbe wa Tume, Abubakar Ali (kushoto) na Mhe. Al-Shaymaa Kwegyir (kulia).
Kama sheria ya kutambua ujinai wa ubaguzi (wa kabila, rangi, na dini) haimo katiba hiyo ni bure.
ReplyDelete