Askari wa Kikosi cha Zimamoto mkoani Iringa akionyesha namna ya kuzima moto kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa,wakati wa mafunzo ya tahadhari ya moto na jinsi ya kujikinga na moto pamoja na mbinu za uzimajimoto,yaliyofanyika Chuoni hapo.
Mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa akifanya mazoezi ya uzimaji moto wakati wakufunga mafunzo hayo.Picha na Francis Godwin.
Haya mambo yanaonekana madogo madogo ila yana mchango mkubwa sana.mi ningeomba health and safety ielekezwe kila sehemu makazini na mashule.many many thanks
ReplyDeleteGood job! Zimamoto. Jmabo muhimu sana kwenye mabweni ya shule. La muhimu ni kuhakikisha kwamba hizo Fire Extenguisher zaenezwa kwenye mashule yote.
ReplyDelete