Home
Unlabelled
WAZIRI KAGASHEKI HAKUHUDHURIA MAZISHI YA MAWALLA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani kuhudhuria mazishi sio dhambi bali ni baraka hata kama watu walikosea kutangaza isivyo sio kitu kikubwaa saana cha kufanya mtu kukanusha kwa press release kama vile ni kashfa. Tupendane, Tujiamini, alexbura dar
ReplyDeleteinashangaza jinsi wakuu wanavyo-react...kuna harufu ya uhasama kibaya kuelekea kwa Marehemu!
ReplyDeleteOMG..kwanini anatumia official govt press release kwa issue kama hii,na wala sio issue kubwa hii naona hawakutumia busara kabisa
ReplyDeletenadhani turudi nyuma, jadi yetu waafrika ni kuzikana.... kuzika ni heshima, haijawahi kuwa kashfa, yeyote ana haki ya kuhifadhiwa kwa kuzikwa.....sasa muafrika gani yuko proud kushindwa kuzika na uwezo alikuwa nao wa kwenda? wote tungeenda kama tungekuwa na uwezo! maiti haibaguliwi, mauti ni yetu sote... hatujui tutakufa wapi na nchi gani! tutahifadhiwa na yeyote huo ndio ubinadamu ni asili yetu...kufa...hata kama huna ndugu ,jamaa, marafiki ,utazikwa tuu na yeyote!
ReplyDelete