Rais wa Vizion One, Inc, Bwn. Abdallah Kitwara alonga na Vijimambo sehemu ya pili aelezea kampuni zake Tanzania na nini ushauri wake wa Watanzania na Vijana wanaotaka kutuata nyayo zake. MSIKILIZE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2013

    Nimependa sana and im so proud for my Tanzania brother. God bless you brother. Mdau READING,ENGLANG

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2013

    I have been so impressed by his success and the way he assured many of us who are following his interview from the beginning,that everything is possible if you make decision and put little pressure on it,God bless him, god bless us and god bless Vijimambo too. We need more interviews of this kind if possible( I mean involving successul cool guys like him).Mdau Lund Sweden.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2013

    Usisahau kwamba hao unaowahita wazee wana experience ambayo hao vijana wako hawana. Kuna ujuzi mwingine ambayo uwezi kujifunza darasi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2013

    Huyu jamaa anafanya kazi nzuri,tunahitaji tuwe nao wengi kama huyu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...