Makamu wa Mwenyekiti wa CCM (Bara),Ndugu Philip Mangula akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Sudani nchini Tanzania, Dr. Yassir M. Ali aliemtembelea leo kwenye ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.Picha na Adam Mzee.
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM (Bara),Ndugu Philip Mangula akiagana na Balozi wa Sudani nchini Tanzania, Dr. Yassir M. Ali mara baada ya mazungumzo yao leo.Picha na Adam Mzee.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...