Home
Unlabelled
changamoto za magari ya zimamoto kufika maeneo ya tukio jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bongo hakuna ubongo.
ReplyDeleteMPAKA WAFIKE KWENYE MOTO BASI NYUMBA ISHAKUWA MAJIVU, PROSECUTE ALL THOSE WHO DO NOT PARK ASIDE ABD LET THE FIRE ENGINE PASS.
ReplyDeleteNatambua ufinyu wa bajeti, vitendea kazi, watumishi na utaalamu. Mie tatizo langu ni Watanzania kutoheshimu magari haya ya huduma ya dharula,mfano zima moto na ambulance. Hivi ni lini tutaheshimu na kuyapa njia yapite.
ReplyDeleteNadhani wakati umefika wahusika watoe elimu ya namna gani tuyapishe magari haya. Jiulize unapolinyima njia gari la wagonjwa unakuwa unatambua mgonjwa gani anapelekwa hospitali...kama ni baba yako au mama au mwanao...je hautakuwa umeshiriki kumuua? Vivyo hivyo kwenye zimamoto.
Wakati umefika tubadilike
Kweli Tanzanzania baaado kabisa, yaani hao wote walitakiwa kukaa pembeni, hivi kwanini hilo gari lisiwagonge lee mbali?
ReplyDeleteswali langu hivi haya magari ya zima moto yanakaa umbali gani na jiji?
ReplyDeleteushauri wangu kungekuwepo na vituo visivyopungua hata 3 katitaki ya jiji na pembeni mwa jiji
ushauri wa pili ni vyema sasa wahusika wa usalama wa barabarani wakatoa somo kwa kila mtanzania namna ya kuheshimu magari ya zimamoto na magari ya wagonjwa
ni vyema unaposikia sauti ya gari la zimamoto au gari la wagonjwa ni vyema kusimama hapohapo ulipo na kusubiri mpaka magari hayo yapite
hivyo ndivyo tunavyotumia huku ughaibuni ukisikia magari hayo basi unasimama popote ulipo na kuyapisha yapite na badae unaweza kuendelea na safari zako.
Hapa kuna mambo mawili:
ReplyDelete1. Vituo za zimamoto ni vichache, hivyo basi umbali wanaoutumia kifika eneo la tukio ni mkumbwa mno.
2. Bado watumiaji wa barabara hawaeliwi umuhimu wa kuyapisha haya magari ya dharula, hivyo ni muhimu waelimishwe, na baada ya hapo watozwe faini kama bado mambo ni yale yale.
damn...yaaani mavumbi na kuchafu ile mbaya,hivi usafi kidogo tuu na na kuzibua hiyo mitaro inataka mzungu aje?na jinsi barabara ilivyo mbovu huyo mgonjwa akifika si mgongo umeisha...aibu tupu viongozi na wananchi jitahidini kusafisha jamani
ReplyDeleteINASIKITISHA KAMA HAIUDHI MAANA HATA HAO FIREMAN WENYEWE HAWAJUI WAPI WANAKWENDA WANAULIZA WAPITA NJIA NA KAMA NYUMBA INAUNGUA SI WATAKUTA MAJIVU.
ReplyDeleteWhat a joke? Nchi imeoza kiasi hiki? Barabara mbovu watu hawaheshimu vyombo vya usalama vurugu mtindo mmoja...Bado tuna safari ndefu.
ReplyDeletemdau wa tano hapo juu kwani hao madereva hawakufundishwa kupisha magari wakati wapo driving school? Umeandika wafundishwe je iwe mara ngapi? Hawafundishiki udereva bongo ni kila mtu anaamua anachotaka na huwezi fanya kitu! Kabla hujaingia barabarani unanolewa driving school hivyo wanajua kila kitu ni viburi tu.
ReplyDeleteNo laws are enforced in this country! Totally uncivilized! Nafikiri kungekuwa na taa ingesiadia! hao traffic watagongwa tu kila siku eti wao ndo taa! aibu kabisa! Ni mpaka sheria zitakapothibitiwa ndio tutabadilika! Hata ukimkamata dereva mzembe. Atatoa elfu moja kwa polisi njiani na ataachiwa tu! What a mess!
ReplyDeletehahahah amenikosha huyo aliyeulizwa umbali,how many meters? mzee likamtoka jibu,5 meters!!
ReplyDeleteNCHI YANGU MASKINI TANZANIA! NA WATU WAKE!
ReplyDelete