Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amosi Makalla (katikati) akimkabidhi nahodha wa chuo kikuu cha St.John’s, Mkole Mpangala fedha taslim Sh.500,000 mara baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya ‘Safari Lager Higher Learing Pool Competition 2013’ katika mkoa wa Dodoma, (wa pili kushoto), mwenyekiti wa chama cha mchezo huo mkoani hapa (DOPA),Fred Mushi.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amosi Makalla (mwenye suti) akifurahi pamoja na wachezaji wa chuo cha St.John’s mara baada ya kutwaa ubingwa wa ‘Safari Lager Higher Learing Pool Competition 2013’ Mkoa wa Dododma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...