Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi sehemu ya vifaa vya michezo vilivyotolewa na benki hiyo kupitia akaunti yake ya Tanzanite, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samwel Ndomba kwa ajili ya wanajeshi wanaokwenda kulinda amani nchini Kongo. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Jeshi Upanga jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi sehemu ya vifaa vya michezo, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samwel Ndomba kwa ajili ya wanajeshi wanaokwenda kulinda amani nchini Kongo. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Jeshi Upanga jijini Dar es Salaam. 
Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...